Urusi Yafanya Jaribio La Kombora Hatari Lenye Kubeba Vichwa Vingi vya Nyuklia Liitwalo 'Shetani-2'
HomeHabari

Urusi Yafanya Jaribio La Kombora Hatari Lenye Kubeba Vichwa Vingi vya Nyuklia Liitwalo 'Shetani-2'

Urusi ilitangaza siku ya Jumatano kwamba imekamilisha kwa mafanikio jaribio la kwanza la kombora lake jipya la masafa marefu la "Sar...

MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON
Msiba Mzito: Kontena lalalia basi, laua 42, lajeruhi 23
Do you know Android 5.1 Lollipop SDK


Urusi ilitangaza siku ya Jumatano kwamba imekamilisha kwa mafanikio jaribio la kwanza la kombora lake jipya la masafa marefu la "Sarmat", silaha ambayo inachukua nafasi ya makombora ya SS-18 "Shetani" na ambayo itakuwa jibu la jeshi la Urusi kwa mpangi wa Marekani wa Global Strike.

RS-28 Sarmat( NATO wanaiita Shetani-2)  ni silaha ya kizazi kipya. Kombora la masafa marefu la nyuklia, la tano la kizazi chake, ambalo halina mfano wake, kulingana na Rais wa Urusi Vladimir Putin.

Kombora hilo lina uwezo wa kuwa na vichwa kadhaa vya nyuklia au vya kawaida ambavyo kila moja hufuata mkondo huru wakati wa kuingia kwenye angahewa, lilifanyiwa majaribio na kurushwa kwa mara ya kwanza Jumatano Aprili 20 katika eneo lililo kaskazini magharibi mwa Urusi.

 Kombora hilo linaaminika kulenga shabaha yake Mashariki ya Mbali ya Urusi, kilomita 5,000 kutoka eneo la kurushia.

Lakini kombora la Sarmat linaweza kwenda zaidi ya kilomita 11,000, uzito wake unazidi tani 200. Silaha "ambayo itahakikisha usalama wa Urusi licha ya vitisho vya nje na ambayo itawafanya wale wanaojaribu kutishia nchi yetu kwa maneno ya kikatili na ya fujo kufikiria mara mbili," Vladimir Putin alisema wakati wa hotuba ya televisheni. 

Kulingana na Bw. Putin, kombora hilo lina uwezo wa "kushinda mifumo yote ya kisasa ya kuzuia ndege".



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Urusi Yafanya Jaribio La Kombora Hatari Lenye Kubeba Vichwa Vingi vya Nyuklia Liitwalo 'Shetani-2'
Urusi Yafanya Jaribio La Kombora Hatari Lenye Kubeba Vichwa Vingi vya Nyuklia Liitwalo 'Shetani-2'
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoaByxk2AyeYAp49aatN8OnEcR7AKGDNuZWeg-QoLvexTYaLTmW2ppJDNhF559miykpc405ElHHLdGCujUHzt6tNydfqG3zVAERcRJl_uJ4ZoJ2ADgN9CeEzyn6mjK8gpHz5lUFnMKZnCRfWwGPzAWmmMDiOQ8Pj_C504DPXa8T62if7lg1TR2E6LDhg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoaByxk2AyeYAp49aatN8OnEcR7AKGDNuZWeg-QoLvexTYaLTmW2ppJDNhF559miykpc405ElHHLdGCujUHzt6tNydfqG3zVAERcRJl_uJ4ZoJ2ADgN9CeEzyn6mjK8gpHz5lUFnMKZnCRfWwGPzAWmmMDiOQ8Pj_C504DPXa8T62if7lg1TR2E6LDhg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/urusi-yafanya-jaribio-la-kombora-hatari.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/urusi-yafanya-jaribio-la-kombora-hatari.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy