TAMISEMI Yatangaza Ajira Za Walimu 7, 612 na Ajira 9800 Kada ya Afya.....Bofya Hapa Kutuma Maombi
HomeHabari

TAMISEMI Yatangaza Ajira Za Walimu 7, 612 na Ajira 9800 Kada ya Afya.....Bofya Hapa Kutuma Maombi

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajil...


Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondari watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 20 Aprili - 04 Mei, 2022. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree).

==>>BOFYA HAPA  kupakua PDF/ Kujua zaidi na Kutuma Maombi .

________

Tangazo hili linawahusu wahitimu wa Kozi za Ualimu kuanzia
mwaka 2015 hadi mwaka 2021.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TAMISEMI Yatangaza Ajira Za Walimu 7, 612 na Ajira 9800 Kada ya Afya.....Bofya Hapa Kutuma Maombi
TAMISEMI Yatangaza Ajira Za Walimu 7, 612 na Ajira 9800 Kada ya Afya.....Bofya Hapa Kutuma Maombi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_Ju5m7scIjlRf49n43EY1P3Bk5k-vhVfwmAc6rC1zlXIxZE0dxBciRcKpg2AFDBaZIoP1etKk_lcuimp3vUxUKnEVM0TTKUkNTj7JTpI8e_Jq9HmBlnH6GGjl90DnPth4rSrZ23bKT2u8ehgTpSQ0tMlKsFPjWndXHGc5LRyS-P0PiLGRBqdEe-1qGA/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_Ju5m7scIjlRf49n43EY1P3Bk5k-vhVfwmAc6rC1zlXIxZE0dxBciRcKpg2AFDBaZIoP1etKk_lcuimp3vUxUKnEVM0TTKUkNTj7JTpI8e_Jq9HmBlnH6GGjl90DnPth4rSrZ23bKT2u8ehgTpSQ0tMlKsFPjWndXHGc5LRyS-P0PiLGRBqdEe-1qGA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tamisemi-yatangaza-ajira-za-walimu-7.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tamisemi-yatangaza-ajira-za-walimu-7.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy