Serikali Itaendelea Kuweka Mazingira Bora Ya Kuwezesha Vijana Kufanya Biashara Na Ujasiriamali – Prof. Mkumbo
HomeHabari

Serikali Itaendelea Kuweka Mazingira Bora Ya Kuwezesha Vijana Kufanya Biashara Na Ujasiriamali – Prof. Mkumbo

 Na Eliud Rwechungura Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ameeleza kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 17, 2025
TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 16, 2025

 Na Eliud Rwechungura
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ameeleza kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwezesha vijana kufanya biashara na ujasiriamali ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kutengeneza ajira kwa vijana.

Waziri Prof. Mkumbo aliyasema hayo Julai 18, 2021 katika Maonesho maalum ya Harusi (Adorable Wedding Trade Fair) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam yenye dhima ya ni kukuza tasnia ya harusi nchini Tanzania na kuwajengea uwezo watoa huduma wanaochipukia kufikia viwango vya kimataifa.

“Moja ya majukumu ambayo tumekabidhiwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni kutengeneza ajira kwa vijana, Serikali haina uwezo wa kuwaajiri wahitimu wote, ila njia ya kuajiri vijana wengi ni kutengeneza mazingira ili vijana wafanye ujasiriamali, wafanye biashara kubwa na ndogo ndogo” ameeleza Prof. Kitila Mkumbo.

Aidha, Waziri Prof. Mkumbo amepongeza waandaaji wa maonesho hayo ambayo yamesaidia kukuza masoko ya biashara, bidhaa na huduma mbalimbali ambayo ni moja ya Majukumu ya Wizara ya Viwanda na Biashara ya kuwezesha biashara ambazo sio rasmi na kuhakikisha zinatambulika rasmi

Maonesho hayo yamewakutanisha wapambaji, wapishi, waandaaji wa keki, watoa huduma za chakula, watoa huduma za honeymoon, wauzaji wa vito vya thamani, wakodishaji wa magari, washereheshaji – ma MC, ma DJ, watoa huduma za kumbi za sherehe, wapiga picha, na kadhalika.

Nae, Anna Lema Mkurugenzi Muandaaji wa Maonesho ya Adorable Wedding Trade Fair ameeleza kuwa Maonesho hayo yamekuwa na manufaa makubwa Sana kwa watoa huduma za Sherehe nchini Tanzania kwa kuweza kuwakutanisha Wafanyabiashara hawa  na watoa huduma za Sherehe, Kada inayotoa ajira kwa wastani wa watu 23,250.

Anna Lema ameendelea kueleza kuwa kupitia maonesho hayo wafanyabiashara wamejiongezea wigo wa biashara na kutambulika lakini zaidi kupata mafunzo ya namna bora ya kutoa huduma zao na wateja wamepata nafasi ya kuchagua huduma bora kutoka kwa Wafanyabiashara hao.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali Itaendelea Kuweka Mazingira Bora Ya Kuwezesha Vijana Kufanya Biashara Na Ujasiriamali – Prof. Mkumbo
Serikali Itaendelea Kuweka Mazingira Bora Ya Kuwezesha Vijana Kufanya Biashara Na Ujasiriamali – Prof. Mkumbo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhu76X3G-4iIFVg9Ps1Tw9JgrI_Mc7GdFuZoicfR15JMsrUpgPAy-S8ukOGIzuO4SWW9UiWCRkLs0MzTnq4gr8cKYNEdEdy4ZH6suhxK_2BgrcaxbrmxGkfTJyZolUoudvMCaeLNqoxQXtB/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhu76X3G-4iIFVg9Ps1Tw9JgrI_Mc7GdFuZoicfR15JMsrUpgPAy-S8ukOGIzuO4SWW9UiWCRkLs0MzTnq4gr8cKYNEdEdy4ZH6suhxK_2BgrcaxbrmxGkfTJyZolUoudvMCaeLNqoxQXtB/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/serikali-itaendelea-kuweka-mazingira.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/serikali-itaendelea-kuweka-mazingira.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy