Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba
HomeMichezoKitaifa

Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba

Mshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema k...

Katiba ‘mwiba’ kwa wapinzani
Achinja mpwawe, auawa na kuchomwa moto
Kavumbagu aimaliza Ndanda FC


Mshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema kuwa, Hajawahi kuambiwa na uongozi wa timu juu ya kutumia maswala hayo licha yakuwa Imani yake hairuhusu Ushirikina.

Nyota huyo ambaye alikuwa ni mfungaji bora wa ligi kuu ya Kenya kwa misimu miwili iliyopita mfululizo akiwa Gor Mahia, Amesema hayo leo kupitia akaunti yake ya Twitter na kusema kuwa bado anaipenda Simba wala hafikilii kuondoka Msimbazi.

“Napenda kusema yafuatayo, Ninafuraha kuwa Simba, Sitaki kuondoka Simba, Sijawahi kulalamika kubaguliwa Simba, Sijawahi kulazimishwa na uongozi kutumia Uchawi kama ambavyo siamini” Ameandika Sserunkuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.facebook_1426798862337




Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba
Alichosema Sserunkuma kuhusu Uchawi Simba
http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/dan-serunkuma.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/alichosema-sserunkuma-kuhusu-uchawi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/alichosema-sserunkuma-kuhusu-uchawi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy