TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati
HomeHabariTop Stories

TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati

Mamlaka ya mapato Tanzazi TRA imewataka wateja wake kulipa kodi kwa wakati ili kuondokana na kupigwa faini kwani mteja akichelewa kulipa kod...

Mamlaka ya mapato Tanzazi TRA imewataka wateja wake kulipa kodi kwa wakati ili kuondokana na kupigwa faini kwani mteja akichelewa kulipa kodi

atakutana na riba jambo ambalo si zuri kwa mfanyabiashara

Hayo yamesemwa na meneja Elimu kwa mlipakodi kutoka TRA Paul John

Walalaze katika utoaji elimu kwa na tasisi zisizo za kiserikali (Ngo’s) ziolizopo mkoani Singida hii ikiwa ni maelekezo kutoka kwa kamishna mkuu wa TRA kutoa elimu juu ya kulipa kodi.

Naye afisa mkuu msimamizi wa kodi kutoka TRA Hamad Mtery amesema kuwa Taifa l Tanzania limepitisha mapato za aina tatu ambayo ni mapato yatokanayo

na Ajira, mapato yatokanayo na biashara na mapato yatokanayo na uwekezaji hivyo makundi yote yanatakiwa kujisajili ili kuanza kulipa kodi na kufanya shughuli zao kihalali

   

 

 

 

The post TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/43dCXTI
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati
TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250215-WA0034-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/tra-yawakalisha-chini-ngos.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/tra-yawakalisha-chini-ngos.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy