Wamarekani waadhimisha siku ya Martin Luther King Jr.
Waziri wa mambo ya ndani wa Marekani Jeh Johnson akiweka shada la maua mbele ya sanamu ya kumbu kumbu ya Martin Luther King, Jr. Jumatatu, Jan. 19, 2015, in Washington. (AP Photo/Jacquelyn Martin)
HomeHabariKimataifa

Wamarekani waadhimisha siku ya Martin Luther King Jr.

Waziri wa mambo ya ndani wa Marekani Jeh Johnson akiweka shada la maua mbele ya sanamu ya kumbu kumbu ya Martin Luther King, Jr....




Wamarekani kote nchini wanapumzika siku ya Jumatatu ili kuadhimisha  sikukuu ya kitaifa kukumbuka siku aliyozaliwa kiongozi mtetezi wa haki za binadamu aliyeuwawa, Martin Luther King Jr.

King alipata umaarufu mwaka wa 1955 alipoongoza mgomo wa kususia mabasi ya umma kwenye mji iliopo kusini wa Montgomery, Alabama na kupelekea kumalizika kwa ubaguzi wa rangi dhidi ya wasafiri weusi. Alikuwa kiongozi mkuu wa harakati za kupigania haki katika miaka ya 50 na 60 huku akiwapa motisha mamilioni ya watu wakati wa hotuba yake ya "I have a dream" kwenye maandamano yaliofanyika machi mwaka wa 1963 hapa mjini Washington Dc.

Aliweza kupata tuzo la Nobel mwaka uliofuata wa 1964 wakati rais Lyndon Johnson  alipotia sahihi mswaada wa haki za binadadamu. King aliuwawa tarehe 4 Aprili mwaka wa 1968 huko  Memphis, Tennessee alipokuwa amesafiri na kuungana na wafanyakazi weusi wa kuzoa takataka waliokuwa wamegoma wakitaka malipo sawa.

Sikukuu hii ilianza mwaka 1983 wakati rais Ronald Reagan alipotia sahihi mswaada wa kuitenga siku ya Jumatatu ya  tatu ya mwezi Januari kuwa ya kumkumbuka King aliyezaliwa Januari 15 ,1929. Congress iliidhinisha sikikukuu ya King kuwa ya kitaifa mwaka 1994 kama siku ya kujitolea katika jamii.

Chanzo>> VOA

Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wamarekani waadhimisha siku ya Martin Luther King Jr.
Wamarekani waadhimisha siku ya Martin Luther King Jr.
http://gdb.voanews.com/2B36E5FD-CA6E-4203-AFDE-C22BB20936F5_mw1024_s_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wamarekani-waadhimisha-siku-ya-martin.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wamarekani-waadhimisha-siku-ya-martin.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy