SABABU ZA YANGA KUACHANA NA LAMINE MORO IPO HIVI
HomeMichezo

SABABU ZA YANGA KUACHANA NA LAMINE MORO IPO HIVI

  I METAJWA nidhamu ndiyo sababu  iliyomuondoa nahodha na beki wa kati wa  Yanga, Mghana, Lamine Moro kwenye  usajili wa msimu ujao. Hi...


 IMETAJWA nidhamu ndiyo sababu iliyomuondoa nahodha na beki wa kati wa Yanga, Mghana, Lamine Moro kwenye usajili wa msimu ujao.


Hiyo ikiwa ni siku chache tangu, uongozi wa 
Yanga utoe taarifa za kuachana na beki huyo mwenye umbo kubwa.

 

Moro anaondoka Yanga akiwa amecheza michezo 21 katika Ligi Kuu Bara akifunga mabao 4 huku akipiga asisti moja pekee.


Mmoja wa mabosi wa Yanga, ameliambia Championi Ijumaa, beki huyo hakuachwa na timu hiyo kutokana na kiwango, bali nidhamu ndiyo iliyomuondoa katika timu.

 

Bosi huyo alisema kuwa Moro hivi karibuni alitofautiana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi katika suala la nidhamu kabla ya kuondoa kambini Ruangwa, Lindi wakati Yanga inajiandaa na mchezo dhidi ya Namungo FC.


Aliongeza kuwa beki huyo alitenda utovu wa nidhamu lakini akaonekana mgumu katika kuomba msamaha kwa kocha huyo.


“Uongozi wa Yanga umefikia uamuzi wa kuachana na Moro baada ya kuitumikia kwa mwaka mmoja na nusu huku akiwa mkali.

 

 

"Hatua hii ya kusitisha mkataba wa beki huyo haitokani na kiwango chake, bali ni kitendo chake cha kutofautiana na kocha wetu Nabi pamoja na kuyumba kwa nidhamu yake hivi karibuni ndio kimepelekea kuvunjiwa mkataba.

 

"Katika makubaliano hayo Yanga na Moro wamekubaliana watalipana mshahara wa mwezi mmoja pekee ambao ni wa Agosti pekee tofauti na huu wa Julai unaomalizika alioutumikia katika timu,” alisema bosi huyo.


Yanga tayari imetoa taarifa rasmi kutoka kwenye idara ya habari ya timu hiyo ikitangaza kuachana na beki huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SABABU ZA YANGA KUACHANA NA LAMINE MORO IPO HIVI
SABABU ZA YANGA KUACHANA NA LAMINE MORO IPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwViOFQCUX-D2lhoaEOnxYiUeF57hWEzX_nvx4gNJG-ULeCJzXcoIKrbujssjPuxfEDg-Gra_I0gEhu3CSTKW53UPqM6v7l6Fc0rmAsqr4ERg_po-8oPVedH_mI2hH92GGsBomVxXSYxal/w640-h298/Laminee.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwViOFQCUX-D2lhoaEOnxYiUeF57hWEzX_nvx4gNJG-ULeCJzXcoIKrbujssjPuxfEDg-Gra_I0gEhu3CSTKW53UPqM6v7l6Fc0rmAsqr4ERg_po-8oPVedH_mI2hH92GGsBomVxXSYxal/s72-w640-c-h298/Laminee.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/sababu-za-yanga-kuachana-na-lamine-moro.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/sababu-za-yanga-kuachana-na-lamine-moro.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy