Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aagiza waliopandishiwa nauli kurudishiwa
HomeHabari

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aagiza waliopandishiwa nauli kurudishiwa

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua mawakala w...


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua mawakala wa mabasi wanaopandisha nauli kiholela, na kuagiza kuwa abiria wote waliozidishiwa nauli kurudishiwa.

Waitara ametoa maagizo hayo  Desemba 21, 2021 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi cha Magufuli kuangalia hali ya usafiri wa kwenda nje ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Amesema kumekuwa na biashara mbovu ya tiketi na kupandisha nauli kiholela msimu wa sikukuu lakini pia ujanja ujanja wa kuandika nauli tofauti na aliyochajiwa abiria.

"Naelekeza wale wote waliozidishiwa nauli kurudishiwa kumekuwa na tabia abiria kuchajiwa nauli tofauti na iliyoandikwa kwenye tiketi

"Nimekagua kwenye magari nkakuta abira ametoa shilingi 60,000 lakini kwenye tiketi imeandikwa shilingi 40,000 au shilingi 35,000 huu ni wizi nimeagiza Latra kusimamia ili abiria warudishiwe nauli walizozidishiwa," ," amesema Waitara.

Aidha Waitara amesema suluhisho la abiria kulanguliwa ni kuanzisha mfumo wa tiketi mtandao ambapo ameahidi kuanza mwakani baada ya kukaa na wadau na kukubaliana.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aagiza waliopandishiwa nauli kurudishiwa
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aagiza waliopandishiwa nauli kurudishiwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhUSDvlK41xTNwra_w-1QR3AYxBsGoexKlfmvxzVEBd4MYRHjhH26eP0uxpZiIu9H4JKrAxssBvMyDeZH8LXc5Pl7kw9yg6a5xrP8MKqjggNYIVESDv3_5N41hYRxFOwa8YqIDLefKVicVoGCPPl9Vwxw1Y0heZIISsn11KoynCu9ZM3dd5v2GV-BjNcA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhUSDvlK41xTNwra_w-1QR3AYxBsGoexKlfmvxzVEBd4MYRHjhH26eP0uxpZiIu9H4JKrAxssBvMyDeZH8LXc5Pl7kw9yg6a5xrP8MKqjggNYIVESDv3_5N41hYRxFOwa8YqIDLefKVicVoGCPPl9Vwxw1Y0heZIISsn11KoynCu9ZM3dd5v2GV-BjNcA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/naibu-waziri-wa-ujenzi-na-uchukuzi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/naibu-waziri-wa-ujenzi-na-uchukuzi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy