Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma kwa Waliofanya Usaili tarehe 06 na 08 Desemba, 2021

  Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe ...

 


Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06 Desemba, 2021 na Madereva waliofanya usaili tarehe 08 Novemba, 2021 kuwa matokeo ya
waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
 

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazijachukuliwa na Wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
 

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
 

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa

==>>Bofya Hapa Kutazama Majina Ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma.

____

👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi serikalini, mashirika binafsi <<BOFYA HAPA>> 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3227,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,366,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma kwa Waliofanya Usaili tarehe 06 na 08 Desemba, 2021
Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma kwa Waliofanya Usaili tarehe 06 na 08 Desemba, 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiv3aMVMLp0MB6J9CJ8mog-B0yQiWknT3jS18aM1ORP9x2WAmEcjW_NocnHZtB8LtgodhQlFswodrcF6g4eLCfUVWSxonSdCbsEKwk-uRCD3P-8K8Fz0mSyEVLmRCPtTOgLls9Q52KGpsA9-14BRNy7OkGS3e2dN5oLIWV-MA4hg_RmcUea6TC1ZJTR6Q=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiv3aMVMLp0MB6J9CJ8mog-B0yQiWknT3jS18aM1ORP9x2WAmEcjW_NocnHZtB8LtgodhQlFswodrcF6g4eLCfUVWSxonSdCbsEKwk-uRCD3P-8K8Fz0mSyEVLmRCPtTOgLls9Q52KGpsA9-14BRNy7OkGS3e2dN5oLIWV-MA4hg_RmcUea6TC1ZJTR6Q=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/tangazo-la-kuitwa-kazini-taasisi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/tangazo-la-kuitwa-kazini-taasisi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy