NAMUNGO FC HESABU ZAO KWA RUVU SHOOTING ZIPO HIVI
HomeMichezo

NAMUNGO FC HESABU ZAO KWA RUVU SHOOTING ZIPO HIVI

 KINDAMBA Namlia, Ofisa Habari wa Namungo FC ya Lindi ameweka wazi kwamba mchezo wao wa kesho dhidi ya Ruvu Shooting watapambana kusepa na...

KOCHA WA TIMU YA TAIFA POULSEN ATAKA WACHEZAJI KUJITUMA
KOCHA WA YANGA KAZE AWEKA WAZI KWAMBA HANA PRESHA
ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI

 KINDAMBA Namlia, Ofisa Habari wa Namungo FC ya Lindi ameweka wazi kwamba mchezo wao wa kesho dhidi ya Ruvu Shooting watapambana kusepa na pointi tatu muhimu.

Ikiwa imecheza jumla ya mechi 32 ipo nafasi ya 5 kibindoni ina pointi 43 inakutana na Ruvu Shooting iliyo nafasi ya 10 na pointi 38.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mabatini majira ya saa 10:00 jioni huku ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Ruvu wao wanahitaji pointi tatu kwa kuwa hawana uhakika wa kubaki ndani ya ligi ikiwa watapoteza kwa sababu pointi ambazo wanazo zinaweza kufikiwa na Gwambina FC iliyo nafasi ya 16 na pointi zake 34 baada ya kucheza mechi 32.

Namlia amesema:"Kila kitu kipo sawa, wachezaji wanajua kwamba tunahitaji pointi tatu kikubwa mashaibiki wazidi kutupa sapoti.

"Jambo la msingi ni kuona kwamba tunapata pointi tatu muhimu hivyo hakuna kazi ambayo tutakwenda kufanya zaidi ya kusaka pointi tatu," amesema.

namungo inapambana kupata pointi tatu kufufua matumaini ya kumaliza nafasi ya nne ili ipate zali la kuiwakilisha nchi kimataifa kwa sababu kuna nafasi nne kwa Tanzania.

Ugumu upo kutokana na wamiliki wa nafasi hiyo kwa sasa ni Biashara United pointi zao kibindoni ni 49.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO FC HESABU ZAO KWA RUVU SHOOTING ZIPO HIVI
NAMUNGO FC HESABU ZAO KWA RUVU SHOOTING ZIPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBDkJ7YcMx01c9Q_mVhSfuVyJ5-KA4_VCW2dAL2wvnN-yYnhC5oGxhUtYT4GcnsTxvaoR41ZNJ7Jpv6wd8WuW3rsxz0wh6q550ExwftBUesrI8r7QQVFXBofrRsts6vfuXD-g5UPsezBKF/w640-h640/Namungo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBDkJ7YcMx01c9Q_mVhSfuVyJ5-KA4_VCW2dAL2wvnN-yYnhC5oGxhUtYT4GcnsTxvaoR41ZNJ7Jpv6wd8WuW3rsxz0wh6q550ExwftBUesrI8r7QQVFXBofrRsts6vfuXD-g5UPsezBKF/s72-w640-c-h640/Namungo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/namungo-fc-hesabu-zao-kwa-ruvu-shooting.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/namungo-fc-hesabu-zao-kwa-ruvu-shooting.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy