MWANACHAMA wa Yanga, Mohamed amesema kuwa suala la kuchukua ubingwa ni dogo ila jambo la msingi ni kujua kwamba ubingwa huo unaifanyia nini ...
MWANACHAMA wa Yanga, Mohamed amesema kuwa suala la kuchukua ubingwa ni dogo ila jambo la msingi ni kujua kwamba ubingwa huo unaifanyia nini kwa kuwa kama makombe Yanga imetwaa mataji mengi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia amesema kuwa zipo timu ambazo zilitwaa ubingwa ambapo ile ya kwanza ilikuwa ni Cosmo 1967 na mpaka sasa haipo kwenye ligi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS