EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI
HomeMichezo

EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI

 NYOTA wa timu ya Al Itihad FC ya Misri na staa wa zamani wa Klabu ya Simba, Emmanuel Okwi inaelezwa kuwa hayupo kwenye kambi hiyo kwa mud...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
KIUNGO KUTOKA NIGERIA AKUBALI KUTUA SIMBA

 NYOTA wa timu ya Al Itihad FC ya Misri na staa wa zamani wa Klabu ya Simba, Emmanuel Okwi inaelezwa kuwa hayupo kwenye kambi hiyo kwa muda wa mwezi sasa. 

Raia huyo wa Uganda ambaye ni nahodha pia wa timu ya Uganda, Okwi inaelezwa kuwa yupo kimya mpaka sasa kuhusu kurejea kambini.

Kwa mujibu wa tovuti ya Korabia.Com ya nchini Misri ilimnukuu Rais wa Klabu ya Al Ittihad, Mohamed Mousely baada ya mchezo wa timu hiyo dhidi ya Ismaily wakishinda 2-1.

Mohamed alisema:"Kuna wachezaji akiwemo Okwi hawapo kambini, wametoroka kwani tumewatumia barua lakini bado kimya, walikwenda kwenye timu zao za taifa lakini hawajarudi hadi sasa,".

Ripoti nyingine zilidai kuwa Okwi ameamua kutorejea kwenye klabu yake hiyo kwa kuwa mkataba wake ulimalizika Juni 31 mwaka huu na hakukuwa na mazungumzo ya kumuongezea dili jipya.

Okwi amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mechi 17 alizocheza ndani ya msimu huu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI
EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl6te7hPQkt2XUinqJu3MZWpJTwUgaPEMxNznHQTMtgLZdfy2riBYOOocPdpbz67Dvevh6w3VxejJSlhHGhxveRzW5XLSwiz7_oni8EQILeFrRZjxHW5SoZingdFQC8hp7TMqqQZYvAzmK/w640-h360/Okwi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl6te7hPQkt2XUinqJu3MZWpJTwUgaPEMxNznHQTMtgLZdfy2riBYOOocPdpbz67Dvevh6w3VxejJSlhHGhxveRzW5XLSwiz7_oni8EQILeFrRZjxHW5SoZingdFQC8hp7TMqqQZYvAzmK/s72-w640-c-h360/Okwi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/emmanuel-okwi-atoroka-kambini-misri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/emmanuel-okwi-atoroka-kambini-misri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy