ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI
HomeMichezo

ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI

  MSAFARA wa wachezaji 25 wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes umewasilia salama  jijini , Khartoum, Sudan. Kik...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
HATMA YA RAMOS NDANI YA REAL MADRID YAAMULIWA NA WAZAZI
MSIMAMO WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA HATUA YA MAKUNDI, SIMBA ACHA KABISA

 


MSAFARA wa wachezaji 25 wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes umewasilia salama  jijini ,Khartoum, Sudan.

Kikosi kilikwea pipa jana Machi 3 na kilipitia Addis Ababa, Ethiopia usiku wa kuamkia leo kilianza safari kuibukia Sudan ambapo kimeweza kufika salama.

Orodha ya nyota hao ambao ni wachezaji 25 hii hapa:-

Aishi Manula, Beno Kakolanya, Ally Salim, Shomari Kapombe, Joash Onyango, Pascal Wawa, Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Mohamed Hussein, Jonas Mkude, Rarry Bwalya, Mzamiru Yassin.

Luis Miquissone, Hassan Dilunga, Ibrahim Ajibu, Clatous Chama, Francis Kahata, Meddie Kagere, John Bocco.

Miraji Athuman, Kope Mugalu, Peter Muduhwa, Tadeo Lwanga, Kenedy Juma na David Kameta. 

Machi 6 kinatarajiwa kuwa na mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Merrikh ambayo ipo nafasi ya nne ikiwa haijaambulia pointi.

Hivyo mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa wapinzani wao wakisaka pointi tatu mbele ya Simba ambayo nayo inahitaji pointi hizo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI
ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRNtvLf33zUfGTomgrOvM3hV7_yArkVTDit2dYbv8MJlSgx4yyJaCIMGtHiK__RddxqAzCSvUVb-idBax50GmaX-ZHL1dsPaZzz3HdgZQbMfLJ-wSEar39MwrgvYN4xiQlMxXMt4uND4SZ/w640-h434/Manula+akiwa+Sudan.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRNtvLf33zUfGTomgrOvM3hV7_yArkVTDit2dYbv8MJlSgx4yyJaCIMGtHiK__RddxqAzCSvUVb-idBax50GmaX-ZHL1dsPaZzz3HdgZQbMfLJ-wSEar39MwrgvYN4xiQlMxXMt4uND4SZ/s72-w640-c-h434/Manula+akiwa+Sudan.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/orodha-ya-wachezaji-25-wa-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/orodha-ya-wachezaji-25-wa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy