YANGA HAIJAKATA TAMAA KUHUSU UBINGWA WA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

YANGA HAIJAKATA TAMAA KUHUSU UBINGWA WA LIGI KUU BARA

  Z IKIWA  zimesalia mechi  tano kwa upande wa Klabu  ya Yanga ili kumaliza  Ligi Kuu Bara msimu  huu, uongozi wa klabu  hiyo umeweka wazi...

AMBUNDO: WALIMU AMEKUWA AKITUSISITIZA TUFANYE KAZI KWA JUHUDI
SIMBA WANA NAFASI YA KUPINDUA MEZA KIBABE, KOCHA AWATAJA WACHEZAJI HATARI
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI UTAZAME HAPA

 ZIKIWA zimesalia mechi tano kwa upande wa Klabu ya Yanga ili kumaliza Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi wa klabu hiyo umeweka wazi kuwa bado una matumaini ya kutwaa ubingwa.

 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 61, Simba ni kinara ana pointi 67.


Yanga imecheza jumla ya mechi 29 ndani ya ligi wakati Simba ikiwa imecheza jumla ya mechi 27.

 

 Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kwa mechi ambazo zimebaki watapambana kupata matokeo chanya ili kufikia malengo yao.


“Matumaini ya ubingwa bado yapo kwa kuwa tuna mechi 5 ambazo tukishinda zote tunafikisha alama 15 ambazo bado zinatuweka kwenye mbio za ubingwa.


“Kwa hiyo hatujakata tamaa na sasa hivi timu inaendelea kujiandaa kuelekea michezo ijayo,” amesema Bumbuli.


Juni 6 kikosi kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon, Uwanja wa Azam Complex.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA HAIJAKATA TAMAA KUHUSU UBINGWA WA LIGI KUU BARA
YANGA HAIJAKATA TAMAA KUHUSU UBINGWA WA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheK1SLs3noKqBW0vx-nEHJHrwbX0sTctXdSfcKESpWR1Sc_9WTbH-09JtG79-ikEGYNlCIivtQJIPwu94wRvP-MxUZ1hl40-WXNcbne0NJ55628qnHG-T7W6XFQNzoergKXj05s7WifoAh/w640-h606/yangasc-195675877_339279457556386_492588824226138327_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheK1SLs3noKqBW0vx-nEHJHrwbX0sTctXdSfcKESpWR1Sc_9WTbH-09JtG79-ikEGYNlCIivtQJIPwu94wRvP-MxUZ1hl40-WXNcbne0NJ55628qnHG-T7W6XFQNzoergKXj05s7WifoAh/s72-w640-c-h606/yangasc-195675877_339279457556386_492588824226138327_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-haijakata-tamaa-kuhusu-ubingwa-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-haijakata-tamaa-kuhusu-ubingwa-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy