Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)
HomeMatukio

Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)

Kuna malalamiko ya foleni kwenye miji mikubwa Duniani, hii ishu hata Dar ipo pia.. ukacha hilo kuna ishu ya parking.. inawezekana u...

Watu sita wajeruhiwa baada ya bomu kurushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya Mei Mosi.
Professor Jay asema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, aizungumzia project mpya ya muziki ‘The Icon'
Filikunjombe Atishia Kumchapa Viboko Diwani


Kuna malalamiko ya foleni kwenye miji mikubwa Duniani, hii ishu hata Dar ipo pia.. ukacha hilo kuna ishu ya parking.. inawezekana umejenga au unaishi kwenye nyumba yako ya kawaida kabisa lakini una changamoto wa wapi pa kupaki gati yako !!

Teknolojia haiko mbali na sisi kila siku, ubunifu unaofanywa hautaacha wakati mwingine kutushangaza pia.. timu ya Engineers Ujerumani wamefanya ufundi wao, wamekuja na hii gari ndogo ndogo yani.. na bado ina uwezo wa kubonyea ikawa ndogo zaidi.

Hii gari ni ya umeme, ina uwezo wa kusafiri mpaka kilometer 70 kwa battery yake ikiwa full charge kabisa !! Kingine ni kwamba ina uwezo na kupungua upana wake kwa kama centimeter 80 hivi, tyre zake pia zinageuka upande wowote unaotaka sio kama gari nyingine.. kama sehemu ya parking ni ndogo haitoshi basi hii inajipenyeza na inatosha kabisa.

Wapo waliovutiwa na ubunifu huu, Kampuni ya Mercedes Benz wao wamethibitisha kuipenda hii, ndani ya miaka 4 ijayo watakuwa na gari ambalo litakuwa na muundo kama huu.. General Motors pia wamesema mpaka 2020.

Video yake unaweza kuiona hapa..



KAGARI GERMANY
Timu ya wataalamu wakiwa kwenye gari ambalo wamebuni.. kwao itakuwa ni BIG DEAL kama dunia itaikubali hii teknolojia mpya.


Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)
Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiy5bxaYBG6AbJ4DoNs4eISpl1-3u_UgXPt2Z03AfhzbOsUxweycMP34JVyw2ITOgg8vrjbiAbY7CmcVGxxO6EUiAyvkWFlPFihTycVrJlaAe4XXsLxkIkZVTMUoo2iY3lTTd-5mc63O2B/s640/KAGARI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiy5bxaYBG6AbJ4DoNs4eISpl1-3u_UgXPt2Z03AfhzbOsUxweycMP34JVyw2ITOgg8vrjbiAbY7CmcVGxxO6EUiAyvkWFlPFihTycVrJlaAe4XXsLxkIkZVTMUoo2iY3lTTd-5mc63O2B/s72-c/KAGARI.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/maajabu-mengine-ya-teknolojia-ni-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/maajabu-mengine-ya-teknolojia-ni-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy