AMBUNDO: WALIMU AMEKUWA AKITUSISITIZA TUFANYE KAZI KWA JUHUDI
HomeMichezo

AMBUNDO: WALIMU AMEKUWA AKITUSISITIZA TUFANYE KAZI KWA JUHUDI

 NYOTA wa kikosi cha Dodoma Jiji, Dickson Ambundo amesema kuwa mwalimu wao Mbwana Makata amekuwa akiwasisitiza kufanya kazi kwa juhudi bil...


 NYOTA wa kikosi cha Dodoma Jiji, Dickson Ambundo amesema kuwa mwalimu wao Mbwana Makata amekuwa akiwasisitiza kufanya kazi kwa juhudi bila kuchoka ndani ya uwanja.

Dodoma Jiji kwa msimu wa 2020/21 imekuwa na mwendo mzuri kwa timu ambazo zimepanda Ligi Kuu Bara msimu huu jambo ambalo linawapa matumaini ya kuweza kubaki kwa msimu wa 2021/22.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi 39 baada ya kucheza jumla ya mechi 30.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ambundo amesema kuwa wamekuwa wakipewa maelekezo mara kwa mara na benchi la ufundi ambalo linahitaji kuwaona wakifanya vizuri.

"Mwalimu amekuwa akitusisitiza kwamba ni lazima tupambane kwa hali na mali katika kusaka matokeo kwani kazi yetu ni kuona timu inashinda.

"Ushindani ni mkubwa nasi pia tunaongeza juhudi ili kupata matokeo hakuna ambaye anapenda kuona timu ikishindwa kufanya vizuri," amesema.

Nyota huyo aliibuka ndani ya Dodoma Jiji akitokea Klabu ya Gor Mahia ya Kenya ambayo ilipata saini yake zama zile alipokuwa akitumikia Klabu ya Alliance.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AMBUNDO: WALIMU AMEKUWA AKITUSISITIZA TUFANYE KAZI KWA JUHUDI
AMBUNDO: WALIMU AMEKUWA AKITUSISITIZA TUFANYE KAZI KWA JUHUDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0-MUElYTpVZ7UVVBpaNLMZQbFprnlPpJMGCkpTOqKJsC9r6aSZ5GTVrQO8P5yf-vcXikqYmTsQ2khoiLwEtO7dljO9G8QNP4Q1AX5Pdqg0moipDD1dDdlpAf-1P9uiRaOet1Y64K4DVM8/w640-h480/ambundo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0-MUElYTpVZ7UVVBpaNLMZQbFprnlPpJMGCkpTOqKJsC9r6aSZ5GTVrQO8P5yf-vcXikqYmTsQ2khoiLwEtO7dljO9G8QNP4Q1AX5Pdqg0moipDD1dDdlpAf-1P9uiRaOet1Y64K4DVM8/s72-w640-c-h480/ambundo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ambundo-walimu-amekuwa-akitusisitiza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/ambundo-walimu-amekuwa-akitusisitiza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy