VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI
HomeMichezo

VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ilikuwa ngumu kwake kupata ushindi jana Juni 26 mbele ya Azam FC kwa kuwa ulikuwa ni mchezo...

MUDA WA KUANZA KUPATA HASIRA UPO KWENYE KONA KWA SASA
MATEJA KEZMAN, MSHAMBULIAJI ANAYETAJWA KUWA BORA KWA ZAMA ZAKE
VIDEO: MIKWARA YA HAJI MANARA AKIONGOZA MSAFARA WA MOPAO

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ilikuwa ngumu kwake kupata ushindi jana Juni 26 mbele ya Azam FC kwa kuwa ulikuwa ni mchezo mgumu hasa kwa kipindi cha kwanza jambo ambalo lilimfanya abadili mbinu kipindi cha pili huku akihitaji kuwa na mwendelezo wa ushindi.

 Ameongeza kuwa anafurahi kuona wachezaji wake wakiwa wametinga hatua ya fainali na ilikuwa ni malengo ya Simba kuweza kushinda kila mataji ambayo wanayatarajia.

 Kuhusu kufanisha Yanga na Azam FC amesema kuwa kuna utofauti kati ya hizo timu ila imani yake ni kwamba Simba ni timu bora huku akiwashuruku mashabiki na kuwaambia kwamba anawasubiri kwenye Karikaoo Dabi Julai 3.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI
VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCwWNo82NRHDcl6MgcRxYXralqMkULFmIqqSakYqifg9BPp7fb84r7U6vYl3uN5d1zyy1coOC0jDn5bsa5SXgfqXUjr2y7ZlmyutzaTyzRaL9W0jKS9rxhUOVw_7k37TKs6Rg2PiILWJ5X/w512-h640/Gomes.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCwWNo82NRHDcl6MgcRxYXralqMkULFmIqqSakYqifg9BPp7fb84r7U6vYl3uN5d1zyy1coOC0jDn5bsa5SXgfqXUjr2y7ZlmyutzaTyzRaL9W0jKS9rxhUOVw_7k37TKs6Rg2PiILWJ5X/s72-w512-c-h640/Gomes.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/videokocha-simba-ahitaji-mwendelezo-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/videokocha-simba-ahitaji-mwendelezo-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy