SIMBA KUCHEZA NA TP MAZEMBE KWA MKAPA
HomeMichezo

SIMBA KUCHEZA NA TP MAZEMBE KWA MKAPA

  SASA ni rasmi Klabu ya Simba itamenyana na TP Mazembe katika mchezo wa Simba Day unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Septemba 1...

UCHAGUZI UMEKWISHA, SASA NI MUDA WA KAZI KUENDELEA
VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 


SASA ni rasmi Klabu ya Simba itamenyana na TP Mazembe katika mchezo wa Simba Day unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.


Ni Septemba 19 itakuwa kilele cha tamasha la Simba Day na Wiki ya Simba Day inatarajiwa kuanza Septemba 13.


Katika wiki hilo pia kutafanyika matukio mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi, kufanya matendo ya huruma kwa jamii pamoja na kununua uzi mpya wa msimu wa 2021/22 unaopatikana katika maduka ya Vunja Bei.


Siku ya kilele ni siku rasmi ya utambulisho wa wachezaji waliosajiliwa kwenye dirisha kubwa pamoja na wale waliokuwa ndani ya kikosi kwa msimu wa 2020/21.

 

Kwa sasa Simba imeweka kambi Arusha ikiwa na mastaa kama Bernard Morrison, Chris Mugalu, Beno Kakolanya, Gadiel Michael,  Henock Inonga na Pascal Wawa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUCHEZA NA TP MAZEMBE KWA MKAPA
SIMBA KUCHEZA NA TP MAZEMBE KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNp5M9fycjlYuW6s4JUhqncTLGZSy7Lpib_BZxzxZKkPSDk1PXWtLT_7-MeQBEuXavyNBzfYX3nCGTZlvWNhMPyNAP_GWCIbR_s1VWE9lqBlqcCe8VLVaKf5QzluAp8H_lgvwF8WFPMR4N/w640-h430/Screenshot_20210907-084635_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNp5M9fycjlYuW6s4JUhqncTLGZSy7Lpib_BZxzxZKkPSDk1PXWtLT_7-MeQBEuXavyNBzfYX3nCGTZlvWNhMPyNAP_GWCIbR_s1VWE9lqBlqcCe8VLVaKf5QzluAp8H_lgvwF8WFPMR4N/s72-w640-c-h430/Screenshot_20210907-084635_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kucheza-na-tp-mazembe-kwa-mkapa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simba-kucheza-na-tp-mazembe-kwa-mkapa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy