NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Kibu Dennis amesema kuwa anafurahi kuweza kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania amba...
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Kibu Dennis amesema kuwa anafurahi kuweza kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ambapo alitoa pasi moja na kusababisha faulo wakati Stars ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi pia ameomba sapoti kutoka kwa mashabiki. Kuhusu suala lake la kutakiwa Yanga amesema' no comment'
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS