WATANO WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR KWA MKAPA
HomeMichezo

WATANO WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR KWA MKAPA

  WAKATI leo kikosi cha Simba kikiwa na kazi ya kusaka mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar, kikosi hicho kinatarajiwa kuw...

VIDEO:CHAMA AONDOKA SIMBA, DJUMA, MOLOKO WATUA DAR
ARSENAL KAZINI LEO LIGI KUU ENGLAND
MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII

 


WAKATI leo kikosi cha Simba kikiwa na kazi ya kusaka mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar, kikosi hicho kinatarajiwa kuwakosa nyota watano ambao ni Francis Kahata pamoja na Ibrahim Ame.

Kahata yeye amesajiliwa na Simba kwa ajili ya mechi za kimataifa ambapo Simba imetinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imepangiwa na Kaizer Chiefs.

Ame atakosekana leo kwa kuwa amefungiwa na Kamati ya Masaa 72 kwa kosa la kumzuia mwamuzi wa pembeni katika mchezo wa ligi dhidi ya Gwambina.

Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Gwambina Complex na ubao ulisoma Gwambina 0-1 Simba.

Wengine ni pamoja na Gadiel Michael, Ally Salim na David Kameta, 'Duchu' hawa hawajawa fiti kwa kuwa wamekosa mechi kwa muda mrefu.

Kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Meneja Patrick Rweyemamu amesema kuwa hakuna majeruhi ndani ya kikosi hicho na maandalizi yapo sawa.    



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WATANO WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR KWA MKAPA
WATANO WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHNb0y3OAOnBNAZs-TWOpGQNCpb2H2gZBo682XEjtIAidizUB0wIAieI-ruBZSUZ5pFVnCNbvxm7ud_v9c-6AFYrK2P7JWpLN9Ogggxp-7SNObOAdgI-J_AgxMPQ0TSBGWKDZaOrc43lQm/w640-h640/gadiel.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHNb0y3OAOnBNAZs-TWOpGQNCpb2H2gZBo682XEjtIAidizUB0wIAieI-ruBZSUZ5pFVnCNbvxm7ud_v9c-6AFYrK2P7JWpLN9Ogggxp-7SNObOAdgI-J_AgxMPQ0TSBGWKDZaOrc43lQm/s72-w640-c-h640/gadiel.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/watano-wa-simba-kuikosa-kagera-sugar.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/watano-wa-simba-kuikosa-kagera-sugar.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy