MANCHESTER CITY YAICHAPA PSG NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
HomeMichezo

MANCHESTER CITY YAICHAPA PSG NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

  MANCHESTER City imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya PSG katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya kwanza ya UEFA Champions Leagu...

YANGA YAPIGA HESABU YA KUTWAA MAKOMBE
KAIMU OFISA HABARI SIMBA KUONDOKA
TWAHA KIDUKU: MWAKINYO ANAJIBIWA ULINGONI, WATU WANATAKA SHOW

 


MANCHESTER City imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya PSG katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya kwanza ya UEFA Champions League. 

Ni Marquinhos wa PSG alipachika bao pekee kwa timu hiyo inayonolewa na Mauricio Pochettino lilidumu mpaka muda wa mapumziko. 

Vijana wa Pep Guardiola warirejea kipindi cha pili kwa kasi na dakika ya 61 Kevin de Bruyne alipachika bao la kuweka mzani sawa kisha Riyad Mahrez alimaliza kazi dakika ya 71 kwa pigo huru na kuwapa mzigo PSG kusaka ushindi katika mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Mei 4 Uwanja wa City of Manchester. 

Idrissa Gueye


wa PSG dakika ya 77 alionyeshwa kadi nyekundu  ya moja kwa moja baada ya kumchezea faulo IIkay Gundogan na kuwafanya vijana wa Pochettino ndani ya Uwanja wa Parc des Princes kuwa pungufu ndani ya uwanja.

Pochettino amesema kuwa wachezaji wake walishindwa kuumudu mchezo huo kwa kuwa walicheza bila nguvu katika kutafuta matokeo na hata walipokuwa na mpira hawakuonyesha jitihada.

"Nadhani kwamba wachezaji walishindwa kuwa na nidhamu jambo ambalo lilifanya tukapoteza mchezo wetu, pia hata pale ambapo walikuwa wakipata mpira umiliki wao ulikuwa hauna nguvu kubwa.

"Manchester City wameweza kuwa na nidamu na kuonyesha utofauti, nadhani kuna jambo ambalo linapaswa kufanyiwa kazi kwa ajili ya wakati ujao," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER CITY YAICHAPA PSG NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
MANCHESTER CITY YAICHAPA PSG NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5W8uKBqzuDMs70m90UpFVMQOxfQPkIBll8KLlltsNpMA3G5GiE-C3qjQR2eJpRoNrcmc0wUze3PRp7qZaGupi85wG4CTin80qHdPjKJgpU8odTshEyRron9yU6J9aB4HWdjiZ_ZCau_Eq/w632-h640/IMG_20210429_071352_042.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5W8uKBqzuDMs70m90UpFVMQOxfQPkIBll8KLlltsNpMA3G5GiE-C3qjQR2eJpRoNrcmc0wUze3PRp7qZaGupi85wG4CTin80qHdPjKJgpU8odTshEyRron9yU6J9aB4HWdjiZ_ZCau_Eq/s72-w632-c-h640/IMG_20210429_071352_042.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manchester-city-yaichapa-psg-nusu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manchester-city-yaichapa-psg-nusu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy