NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU
HomeMichezo

NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU

 NYOTA wanne wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen raia wa Denmark pamoja na wazawa wawili amb...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA, MZUNGUKO WA PILI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 NYOTA wanne wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen raia wa Denmark pamoja na wazawa wawili ambao ni Seleman Matola na Juma Mgunda wamewekwa chini ya uangalizi maalumu ili kuweza kurejea kwenye ubora wao.

Juzi wakati Stars ikiendelea kufanya maandalizi yake kwa ajili ya mchezo wa kirafiki unaotambulika na Fifa dhidi ya Malawi unaotarajiwa kuchezwa Juni 13, Uwanja wa Mkapa nyota hao hawakufanya mazoezi ya pamoja na timu.

Ni Salim Aboubakar kiungo wa Azam FC (Sure  Boy), Erasto Nyoni beki, John Bocco ambaye ni mshambuliaji  na Mzamiru Yassin ambaye ni kiungo na wote ni mali ya Simba walikuwa wakitazama namna Polusen akiwapa mbinu wachezaji wenzao katika Viwanja vya JMK Park.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Meneja wa Stars, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ alisema kuwa wachezaji hao wapo kwenye uangalizi maalumu kutokana na kusumbuliwa na maumivu madogomadogo.

“Wachezaji ambao hawajafanya mazoezi wao wapo kwenye uangalizi maalumu na hii inatokana na kuwa na maumivu madogomadogo lakini watarudi.

"Tupo imara na tunaamini kwamba tutafanya vizuri hivyo mashabiki waendelee kutupa sapoti kwani kila kitu kinawezekana na wachezaji wanajua majukumu yao," alisema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU
NYOTA WANNE WA KIM POULSEN WAWEKWA KWENYE UANGALIZI MAALUMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyRO4UtI0OqcN6pQM9SYxW4iTm5FC3_u2OvKhj382e3RVe0FAyQPDh67X7p04si8FWrgHMqn1pVPhVoHqnk_XYbGjQsI7IlI_dslz3QEE4wbD1hrhiJazZejAjaaRTSWCGyS8-cA3fUFEJ/w580-h640/Kim+Poulsen.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyRO4UtI0OqcN6pQM9SYxW4iTm5FC3_u2OvKhj382e3RVe0FAyQPDh67X7p04si8FWrgHMqn1pVPhVoHqnk_XYbGjQsI7IlI_dslz3QEE4wbD1hrhiJazZejAjaaRTSWCGyS8-cA3fUFEJ/s72-w580-c-h640/Kim+Poulsen.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wanne-wa-kim-poulsen-wawekwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wanne-wa-kim-poulsen-wawekwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy