HUYU ANATAJWA KUWA BONDIA MREMBO ZAIDI DUNIANI
HomeMichezo

HUYU ANATAJWA KUWA BONDIA MREMBO ZAIDI DUNIANI

  BONDIA Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama Bondia Mrembo zaidi Duniani’....


 BONDIA Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama Bondia Mrembo zaidi Duniani’. 

Kwa sasa ameshastaafu mchezo huo wapili kwa kupendwa zaidi Tanzania baada ya Mpira wa miguu, akiwa ameanza mapambano mwaka 1999 mpaka 2007.

 

 Katika mapambano yake hajapoteza hata moja mpaka anatundika ‘gloves’, katika mapigano 24 aliyoshinda, 21 amewadondosha wapinzani wake kwa KO. Kwa sasa ana umri wa miaka 43 bondia huyu wazamani wa Marekani.

 

 

2012 ameshinda tuzo ya AOC, 2002, 2005, 2007 WBC WIBA World Super Middleweight, 2004 IWBF Female light heavyweight na 2002-2004 IWBF & IBA female Super Middleweight.

 

Kwa kifupi hakubakiza kitu kwenye kila mkanda aliyopigania mwanadada huyu ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 43 akionekana mwenyefuraha tele kwenye maisha yake.

 

 

Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, huyu aliamua kutembea mulemule alipopita baba yake Muhammad Ali wapenzi wa ngumi hakuna asiyemjua, katika zama zake alifanya makubwa. 


Dunia inamtambua Laila Ali kama moja kati ya Bondia wa kike wakubwa wa muda wote



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HUYU ANATAJWA KUWA BONDIA MREMBO ZAIDI DUNIANI
HUYU ANATAJWA KUWA BONDIA MREMBO ZAIDI DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlDbpQIRFlixmnn5gdNognIyPHVQPAe-vRnOVg7dXby-mvIJOiWPE9JSKMgdjXoXrF8OPTFJ3z5Zq-kkE5573QWVtZsSvVykBab6tAG7D_3ReSm7jyUZFdCqeCykaBOG_ZGAJ8IiGwnZzz/w506-h640/Laila+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlDbpQIRFlixmnn5gdNognIyPHVQPAe-vRnOVg7dXby-mvIJOiWPE9JSKMgdjXoXrF8OPTFJ3z5Zq-kkE5573QWVtZsSvVykBab6tAG7D_3ReSm7jyUZFdCqeCykaBOG_ZGAJ8IiGwnZzz/s72-w506-c-h640/Laila+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/huyu-anatajwa-kuwa-bondia-mrembo-zaidi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/huyu-anatajwa-kuwa-bondia-mrembo-zaidi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy