Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilio...
kwa mujibu wa jarida lililotolewa na Ventures Afrika.
Ophrah ana utajiri wa dola bilioni 2.5 kwa mujibu wa Fobres. hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Fobres ilionesha kuwa Alakija ana utajri w dola bilioni 2.5. Utajiri wa mwanamke huyo unatokana na biashara ya mafuta na anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
COMMENTS