LEO Aprili 25 Uwanja wa Mkapa majira ya saa 2:15 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ushindani kati ya Yanga iliyo nafasi ya pili kwenye msi...
LEO Aprili 25 Uwanja wa Mkapa majira ya saa 2:15 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ushindani kati ya Yanga iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo na pointi 57 pamoja na Azam FC iliyo nafasi ya tatu na pointi 51.
Mchezo wa leo unakuwa ni wa 26 kwa timu hizi kukutana kwenye ligi ambapo ni Yanga imeshinda mara nyingi ikiwa ni 9 huku Azam ikiwa imeshinda mara 8, sare zilipatikana nane kwa timu zote ambapo kwa upande wa utupiaji timu zote zimefungana mabao 31.
Haya hapa ni matokeo ya Azam FC kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabiti pamoja na watupiaji wake:-
1. OKTOBA 15, 2008
Azam FC 1-3 Yanga
John Bocco 30'
2. APRILI 8, 2009
Yanga SC 2-3 Azam FC
Yahaya Tumbo 54' na 66', Shaaban Kisiga 60'
3. OKTOBA 17, 2009
Azam FC 1-1 Yanga
John Bocco 60'
4. MACHI 7, 2010
Yanga 2-1 Azam FC
John Bocco 42'
5. OKTOBA 24, 2010
Azam FC 0-0 Yanga
6. MACHI 30, 2011
Yanga 2-1 Azam FC
John Bocco 2'.
.
7. SEPTEMBA 18, 2011
Azam FC 1-0 Yanga SC
John Bocco 20'.
.
8. MACHI 10, 2012;
Yanga SC 1-3 Azam FC
John Bocco 6' na 76'. Michael Bolou 54'.
.
9. NOVEMBA 7, 2012
Azam FC 0-2 Yanga
10. FEBRUARI 23, 2013
Yanga 1-0 Azam FC
11. SEPTEMBA 23, 2013
Yanga 2-3 Azam FC
John Bocco 1', Kipre Tchetche 69' na Joseph Kimwaga 90'.
.
12. MACHI 19 2014
Azam FC 1-1 Yanga
Kelvin Friday 83'
13. DISEMBA 28, 2014
Yanga 2- 2 Azam FC
Didier Kavumbagu 5', John Bocco 65'
14. MEI 6, 2015
Azam 2-1 Yanga
Bryson Rafael 14', Agrey Moris 85'
15. OKTOBA 17, 2015
Yanga 1-1 Azam FC
Kipre Tchetche 82'.
.
16. MACHI 5, 2016
Azam FC 2-2 Yanga
Juma Abdul (OG) 11', John Bocco 70'
17. OKTOBA 16, 2016
Azam FC 0-0 Yanga
18. APRILI 01, 2017
Yanga 1-0 Azam FC
19. JANUARI 27, 2018
Azam FC 1-2 Yanga
Shaaban Idd Chilunda 4'
20. MEI 28, 2018
Yanga 1-3 Azam FC
Azam FC : Yahaya Zayd 4', Shaaban Idd Chilunda 60', Salum Abubakary 60'.
.
21. APRILI 29, 2019
Azam FC 0-1 Yanga
22. MEI 28, 2019
Yanga 0-2 Azam FC
Danny Amoah 46', Mudathir Yahya 50'
23. JANUARI 18, 2020
Azam FC 1-0 Yanga
Ally Mtoni (OG) 25
JUNI 21, 2020
Yanga 0-0 Azam FC
NOVEMBA 25, 2020
Azam FC 0-1 Yanga
MARAFIKI WA NYAVU ZA WANANCHI
1. John Bocco - 10
2. Kipre Tchetche - 2
3. Shaaban Idd Chilunda - 2
4. Yahya Tumbo - 2
5. Shaaban Kisiga - 1
6. Michael Bolou - 1
7. Yahya Zayd - 1
8. Joseph Kimwaga - 1
9. Mudathir Yahya - 1
10. Agrey Moris - 1
11. Didier Kabumbagu - 1
12. Danny Amoah - 1
13. Salum Abubakary - 1
14. Bryson Rafael - 1
15. Kelvin Friday - 1
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS