DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE
HomeMichezo

DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE

 BEKI wa Manchester City,  Ruben Dias ameweka rekodi ya kuwa beki wa nne katika historia ya Ligi Kuu England kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa...

ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG
SAIDO NTIBANZOKIZA AREJEA YANGA,TAYARI KUWAVAA KMC KWA MKAPA
ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI

 BEKI wa Manchester City,  Ruben Dias ameweka rekodi ya kuwa beki wa nne katika historia ya Ligi Kuu England kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi.



Mabeki wengine ambao waliwahi kutwaa tuzo hiyo ni Nemanja Vidic, Vincent Kompany na Virgil van Dijk. 


Dias alitangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England akimshinda mchezaji mwenzake wa Manchester City,  Kelvin de Bruyne na mshambuliaji wa Spurs, Harry Kane.


Pia katika kikosi bora cha msimu huu ndani ya Ligi Kuu England ambapo mabingwa ni City wenyewe walitoa jumla ya wachezaji sita katika kikosi bora.


Pia Pep Guardiola ametajwa kuwa kocha bora wa msimu akitoka ndani ya Manchester City akiwashinda Ole Gunnar Solskjaer, Brendan Rodgers,  David Moyes na Marcelo Bielsa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE
DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-Uou4i430v9GjsMdqDwBPWxL6mjqjMaPGGwkoWflFwkueNKZT27sTA0lTkeWJvqhAy2poeXZYWXAR2MRZ5DQen9oiXlmAZ00JROADcN35i35_roHqdYS3Ozs6dKP6jb__LAb7eQRX0-X2/w626-h640/IMG_20210608_080922_156.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-Uou4i430v9GjsMdqDwBPWxL6mjqjMaPGGwkoWflFwkueNKZT27sTA0lTkeWJvqhAy2poeXZYWXAR2MRZ5DQen9oiXlmAZ00JROADcN35i35_roHqdYS3Ozs6dKP6jb__LAb7eQRX0-X2/s72-w626-c-h640/IMG_20210608_080922_156.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dias-na-manchester-city-waweka-rekodi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dias-na-manchester-city-waweka-rekodi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy