MANULA AINGIA KWENYE VITA NA MAKIPA WATANO AFRIKA
HomeMichezo

MANULA AINGIA KWENYE VITA NA MAKIPA WATANO AFRIKA

  H ASHIKIKI!  Hivyo  ndivyo utakavyosema  kwa kipa namba moja  wa Simba, Aishi Manula  ambaye ameingia kwenye tano  bora ya makipa wenye ...


 HASHIKIKI! Hivyo ndivyo utakavyosema kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ameingia kwenye tano bora ya makipa wenye ‘clean sheet’ katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Katika mechi sita za hatua ya makundi msimu huu, Simba imeruhusu nyavu zake kutikiswa mara mbili na inashika nafasi ya pili katika chati ya timu zilizoruhusu mabao machache hatua hiyo.

 

Simba imeruhusu mabao hayo kwenye mchezo dhidi ya AS Vita uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, uliomalizika kwa timu hiyo kushinda 4-1, kabla ya kwenda kufungwa 1-0 na Al Ahly, Cairo, Misri

Katika mechi hizo, golini alikuwepo Manula.


Orodha ya makipa wenye clean sheet nyingi zaidi msimu huu hatua hiyo ni Moussa Camara (Horoya) na Ahmed Reda Tagnaouti (Wydad Casabalnca) ambao kila mmoja ana nne, wenye tatu ni Aishi Manula (Simba), Ali Abdullah Abou (Al Hilal) na Mohamed El-Shenawy (Al Ahly).

 

Akizungumzia hilo, Manula alisema: “Kwangu najisikia furaha kuwepo katika orodha ya makipa wenye rekodi nzuri ya kutoruhusu mabao.

 

“Pongezi nyingi ziende kwa wachezaji wenzangu na benchi la ufundi lote linaloongozwa na Kocha Gomes (Didier) ambaye amekuwa akiniamini na kunipa maneno ya kuniongezea nguvu ili niwe bora zaidi.

 

“Bado nina kibarua kigumu mbele ya safari baada ya kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hii na kikubwa ninataka kuendeleza rekodi nzuri ya kutoruhusu mabao,” alisema Manula.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANULA AINGIA KWENYE VITA NA MAKIPA WATANO AFRIKA
MANULA AINGIA KWENYE VITA NA MAKIPA WATANO AFRIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcwiXvVruR8fShkMSzz6UaFnKJxWK42DZuEK7WSNIuBXSKj9fYp_wJalO5EGegQRhzK503uv6rg12kFb6BHd6VKCwDJWhjsdfuzUwP18Y01QbCw7rflDdniKPTO0LlPnjRtZwBhQk689OG/w640-h428/Air+Manula.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcwiXvVruR8fShkMSzz6UaFnKJxWK42DZuEK7WSNIuBXSKj9fYp_wJalO5EGegQRhzK503uv6rg12kFb6BHd6VKCwDJWhjsdfuzUwP18Y01QbCw7rflDdniKPTO0LlPnjRtZwBhQk689OG/s72-w640-c-h428/Air+Manula.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manula-aingia-kwenye-vita-na-makipa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/manula-aingia-kwenye-vita-na-makipa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy