ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG
HomeMichezo

ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG

  MIKEL Arteta,  Kocha Mkuu wa Klabu ya Arsenal ameshauriwa kumuwela benchi kwa muda mshambuliaji wake Pierre Emerick Aubameyang na kumua...

 


MIKEL Arteta,  Kocha Mkuu wa Klabu ya Arsenal ameshauriwa kumuwela benchi kwa muda mshambuliaji wake Pierre Emerick Aubameyang na kumuanzisha kikosi cha kwanza Gabriel Martinelli.

Ushauri huo umetolewa na mchambuzi wa masuala ya michezo, Martin Keown kupitia Daily Mail kutokana na mwendo wa nahodha huyo kuwa wa kusuasua kikosini humo.

Arteta ameongoza jumla ya mechi 50 akiwa Arsenal ila kiwango cha wachezaji wake imekuwa ni maji kupwa maji kujaa na alishuhudia kikosi chake kikipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Liverpool,  Uwanja wa Emirates. 

Keown amesema kuwa ni lazima Arteta afanye maamuzi magumu ya kumuweka kando kwanza Aubameyang na kumuanzisha kijana Gabriel kwa kuwa amekuwa na uwezo mkubwa ikiwa ataendelea kumtumia Auba atahatarisha ushindi wake.

Arteta baada ya kupoteza mbele ya Liverpool aliomba msamaha kwa mashabiki wa timu hiyo kwa kuwa alikuwa anaamini kwamba walikuwa na nafasi ya kupata pointi tatu muhimu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG
ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJjiaHlzaAtTJU-F6umALlcxX5SBcsblEle_aJ-6Gmr-fvi0B6jaSCvyQIx4ov0ksclkgQU9EgsVu9pQRUcPRLmPc1nvtNxjh8mZ40-ToJP0uS0f_4RHbijCydjJWXl2hlRYak7gmSzFok/w598-h640/IMG_20210405_131507_329.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJjiaHlzaAtTJU-F6umALlcxX5SBcsblEle_aJ-6Gmr-fvi0B6jaSCvyQIx4ov0ksclkgQU9EgsVu9pQRUcPRLmPc1nvtNxjh8mZ40-ToJP0uS0f_4RHbijCydjJWXl2hlRYak7gmSzFok/s72-w598-c-h640/IMG_20210405_131507_329.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-yashauriwa-kumuweka-kando.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-yashauriwa-kumuweka-kando.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy