NAMUNGO FC KAMILI GADO KUVAANA NA NKANA FC KWA MKAPA
HomeMichezo

NAMUNGO FC KAMILI GADO KUVAANA NA NKANA FC KWA MKAPA

UONGOZI wa Namungo FC  umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo  wao wa Kombe la  Shirikisho Afrika dhidi ya  Nkana ya Zambia.   Mche...


UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Nkana ya Zambia.

 

Mchezo huo wa tatu kwa timu hizo unatarajiwa kupigwa kesho Ijumaa, Aprili 2 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

 

Kwenye msimamo wa kundi D la michuano hiyo, Namungo inakamata nafasi ya tatu baada ya kupoteza michezo miwili ya kwanza.


 Walifungwa bao 1-0 ugenini dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco na kukubali kipigo cha mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Pyramids FC ya Misri.

 

Ofisa Habari wa Namungo, Kindamba Namlia amesema: â€œMaandalizi yapo vizuri na tunatambua kwamba tuna kazi ya kufanya Aprili 2 mbele ya Nkana FC.

 

“Kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wana morali kubwa ya kwa ajili ya kutafuta ushindi. Tupo nyumbani na tutatumia nafasi ya kuwa nyumbani kufanya vizuri,".


Miongoni mwa nyota ambao wapo tayari kwa mchezo huo ni pamoja na Stephen Sey, Sixtus Sabilo, Shiza Kichuya, Humud.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO FC KAMILI GADO KUVAANA NA NKANA FC KWA MKAPA
NAMUNGO FC KAMILI GADO KUVAANA NA NKANA FC KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPY9TVwfshLHzNb3ol5Oo6aUR0KSQdmG5zm_TM2yhlJ2qk3duF8w6oTO7sYy445bpxrPzjUsmv_3NZEgBVh7MPPX4gz4Gr6DtjnMRS5BXG-O6nDi1eQWDcExK5eyt9yYydBjIyQXi0ky_K/w604-h640/Sey.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPY9TVwfshLHzNb3ol5Oo6aUR0KSQdmG5zm_TM2yhlJ2qk3duF8w6oTO7sYy445bpxrPzjUsmv_3NZEgBVh7MPPX4gz4Gr6DtjnMRS5BXG-O6nDi1eQWDcExK5eyt9yYydBjIyQXi0ky_K/s72-w604-c-h640/Sey.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-kamili-gado-kuvaana-na-nkana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/namungo-fc-kamili-gado-kuvaana-na-nkana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy