ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI
HomeMichezo

ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI

  K IUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa  ya Rwanda, Haruna Niyonzima,  amesema hajafikia uamuzi wa  kustaafu kuichezea Rwanda kama  ambavyo vy...


 KIUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti.

 

Niyonzima amekuwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda kwa muda wa miaka kumi, huku akicheza zaidi ya michezo 100.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Niyonzima alisema: “Watu wengi hawakunielewa vizuri nini nilitaka kuwasilisha katika maelezo yangu kuhusu kuichezea timu ya Taifa niliyoyatoa hivi karibuni.

 

“Nilichotaka kumaanisha ni kwamba, iwapo Rwanda ingefanikiwa kufuzu kucheza michuano ya AFCON ya mwakani basi baada ya michuano hiyo ningestaafu.

 

“Lakini kwa bahati mbaya hatujafanikiwa kufuzu, basi siwezi kufanya hivyo kwani bado kuna malengo yangu binafsi ambayo nataka niyatimize nikiwa na kikosi cha timu ya Taifa," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI
ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGJqebpu7zhmoIXbvL94GkrUmchwepJQ4X_k4lx8dDNEFKkde2qzHWD_Kh-B_p186Z09x29SJCQfNO-7jxjuzBTDm4zG51A84V06ZIPQpFysh9PnST131OtrRTjo5r0BKPonBq6Tw3ORZG/w640-h616/Niyo+na+Sure.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGJqebpu7zhmoIXbvL94GkrUmchwepJQ4X_k4lx8dDNEFKkde2qzHWD_Kh-B_p186Z09x29SJCQfNO-7jxjuzBTDm4zG51A84V06ZIPQpFysh9PnST131OtrRTjo5r0BKPonBq6Tw3ORZG/s72-w640-c-h616/Niyo+na+Sure.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ishu-ya-haruna-niyonzima-wa-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ishu-ya-haruna-niyonzima-wa-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy