FURAHIA PROMOSHENI MPYA MSIMU HUU WA PASAKA UKIWA NA MERIDIANBET!
HomeMichezo

FURAHIA PROMOSHENI MPYA MSIMU HUU WA PASAKA UKIWA NA MERIDIANBET!

  Msimu huu wa Pasaka unanogeshwa kwa shindano la kukata na shoka kupitia sloti ya Mega Bunny Hyperways iliyotengenezwa na Game Art. Ndi...

 


Msimu huu wa Pasaka unanogeshwa kwa shindano la kukata na shoka kupitia sloti ya Mega Bunny Hyperways iliyotengenezwa na Game Art. Ndio, ni Meridianbet pekee, utakapoweza kupata Odds na Bonasi kubwa kwenye michezo ya kila aina. Shindano hili la kuvutia litapatikana kwenye Sloti ya Mega Bunny HyperWays kuanzia April 1, saa 6 kamili usiku mpaka Aprili 7, saa 5:59 usiku

 

Namna Sloti ya Mega Bunny HyperWays Inavyofanya Kazi.

Wachezaji watashinda kwenye shindano na kupangwa kwenye orodha ya jumla. Mchezaji atapata pointi 1 kwa kila EURO 1 au pesa ya aina yeyote ambayo mchezaji ataiweka kwenye Mega Bunny HyperWays

 

Wakati wa mchezo, mchezaji anaweza kushinda pointi za ziada, hii itategemea mchanganyiko wa ushindi na mafanikio mengine kwenye mchezo husika ambapo utapata pointi za ziada. Bashiri zilizowekwa kwa kutumia pesa halisi, ndizo zitakazotumika kwenye shindano.

 

Zawadi Zinazotolewa Kwenye Shindano Hili – Easter Mega Tournament.

 

Zawadi zinazotolewa kwenye shindano hili ni:

  • Nafasi ya 1 - 19,044,231.73 Tshs

  • Nafasi ya 2 - 10,882,418.13 Tshs

  • Nafasi ya 3 - 5,441,209.07 Tshs

  • Nafasi ya 4 - 2,720,604.53 Tshs

  • Nafasi ya 5 - 1,360,302.27 Tshs

  • Nafasi ya 6-15 - 544,261.08 Tshs

  • Nafasi ya 16-50 - 272,130.54 Tshs

  • Nafasi ya 51-90 - 136,065.27 Tshs

  • Nafasi ya 91 – 130 - 81,641.88 Tshs

  • Nafasi ya 131-190 - 54,427.92 Tshs

  • Nafasi ya 191-250 - 27,215.68 Tshs

 

Wachezaji wanaweza kuziona nafasi zao pamoja na zawadi walizopata kwenye shindano kwa kuangalia kwenye meza ya mchezo wa Mega Bunny HyperWays. Zawadi zitatolewa Aprili 9, saa 9 alasiri ambapo wachezaji wataarifiwa kwa kupatiwa ujumbe mfupi.

 

Vigezo na Masharti ya Shindano Hili.

 

Shindano hili linajulikana kama “network promotion”, hii inamaana kuwa – wachezaji wote wa kasino za mitandaoni zilizo na mchezo wa Mega Bunny HyperWays wanaweza kushiriki. Hakuna uthibitisho kuwa mchezaji yeyote wa Kasino ya Meridian atashinda zawadi yeyote. 

 

Meridian wanahaki ya kuondoa ofa, kufuta matokeo ya shindano au kutotoa zawadi yeyote endapo itatokea sehemu ya/matokeo yote ya mchezaji yameathiriwa na tatizo la kimfumo (hii haijalishi kuwa tatizo limetokana na makosa ya kibinadamu wa mfumo wa kiufundi).

 

Meridian inahaki ya kusitisha promosheni kwa muda au moja kwa moja muda wowote au inapotokea udanganyifu/utapeli uliofanywa na wachezaji wengi. Vigezo na Masharti kuzingatiwa. 




Meridianbet, Nyumba yenye Odd Bora na Bonasi Kubwa!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FURAHIA PROMOSHENI MPYA MSIMU HUU WA PASAKA UKIWA NA MERIDIANBET!
FURAHIA PROMOSHENI MPYA MSIMU HUU WA PASAKA UKIWA NA MERIDIANBET!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim3l_JCJXbKbltM4N4wzPF27sQm_JCVWVo-mAtJ-Z-_eJ_FReDmmns3WEeRdp-CeLBefoHagJVl9mtXC8di4rlKX6pBi0ycCuYjMz57SaWTpcu3tB3b4oEpu4TiASSw1GJvF4hrlXsBlst/w640-h320/image2.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim3l_JCJXbKbltM4N4wzPF27sQm_JCVWVo-mAtJ-Z-_eJ_FReDmmns3WEeRdp-CeLBefoHagJVl9mtXC8di4rlKX6pBi0ycCuYjMz57SaWTpcu3tB3b4oEpu4TiASSw1GJvF4hrlXsBlst/s72-w640-c-h320/image2.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/furahia-promosheni-mpya-msimu-huu-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/furahia-promosheni-mpya-msimu-huu-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy