Hapa na Pale: Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!
HomeGossip

Hapa na Pale: Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!

Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo...

KAULI YA WEMA YALIZA WENGI. Aweka wazi kuwa hawezi kupata mtoto.
PICHA ilisambaa Diva akipigwa busu jukwaani.. Crazy GK kasemaje? Msikilize kwenye #UHeARD
SHILOLE AFANYA UCHAFU MWINGINE JUKWAANI,NUH MZIWANDA AMWAGA MACHOZI BAADA YA SHISHI KUBAMBIWA>>> Bofya kusoma hapa



Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani.

Kwa mujibu GPL, wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa mapenzi ndiyo yamekolea hadi kufikia hatua ya Nay wa Mitego kuanika hisia zake mtandaoni.
“Wamekuwa wakibanjuka kwa siri sana si unajua Nay ana mchumba wake Siwema, bado hajafanya maamuzi magumu ya kumtosa,” kilisema chanzo chetu.

Paparazi wa GPL alifanikiwa kunasa ujumbe wa Nay wa Mitego kwenye mtandao wa Instagram ambao ulionyesha wakiitana kwa majina ya wapendanao kuonesha dhahiri wawili hao ni wapenzi.
Mbali na kuitana huko, Nay alionesha kuwa amemmisi Wolper ambapo muda mchache baadaye naye alijibu kwa kuwa amemmisi pia kisha Nay akaifuta posti hiyo baada ya kuandamwa na maneno ya wapambe.

Alipoulizwa Wolper kama kwa sasa ameamua kutulia na Nay wa Mitego na mipango ya uhusiano wao ipoje, alikataa kufunguka moja kwa moja.“Kiukweli Nay ni mshikaji wangu tu, unajua nini? Kwa sasa siko tayari tena kumwanika bwana au mchumba wangu kama nilivyofanya mwanzo kwa Dallas, nitakuja kumweka wazi labda mwanaume nitakayezaa naye au atakayenioa kabisa,” alisema Wolper.

Kwa upande wake Nay alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Wolper na hatua ya kuunadi uhusiano wao mtandaoni huku ikifahamika kuwa ana mchumba mwingine, hakutaka kufafanua zaidi ya kujibu: “Mimi huwa siangalii nani atasema nini wala atafikiria nini, mimi nilimmisi Wolper wangu, sikuwa na namna zaidi ya kutumia peji yangu kama nilivyofanya, tena siku hiyo alikuwa hapatikani hewani nikaamua kumtupia mtandaoni bila hofu kwani ni mtu wangu wa karibu na siogopi kitu juu yake,” alisema Nay wa Mitego
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Hapa na Pale: Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!
Hapa na Pale: Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!
http://www.bongomovies.com/public/uploads/NEY566.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/hapa-na-pale-penzi-la-wolper-na-nay-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/hapa-na-pale-penzi-la-wolper-na-nay-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy