Tatizo la umeme Njombe kumalizwa baada ya siku 28
HomeHabari

Tatizo la umeme Njombe kumalizwa baada ya siku 28

Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dkt. Medard Kalemani amesema changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Njombe itakwisha ba...

Umoja wa Mataifa umeiambia Israel kuwa itasitisha shughuli za misaada kote Gaza bila kuimarishwa kwa usalama.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 26, 2024
CP awakabidhi askari wakike bendera kwenda Abuja Nigeria.


Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dkt. Medard Kalemani amesema changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Njombe itakwisha baada ya siku 28.

Dkt. Kalemani ameyasema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Njombe (CCM),  Deo Mwanyika.

Mwanyika amehoji ni lini tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Njombe litatatuliwa.

Akijibu swali hilo, Dkt. Kalemani amekiri suala hilo na kubainisha kuwa unakatika kwa sababu kuna matengenezo yanaendelea ambayo yatachukua siku 28.

Amesema katika maeneo ya Njombe na Ludewa kuna laini ya umeme ambayo inaongezwa na kwamba ujenzi huo umetengewa Sh270 milioni.

Amebainisha kuwa pia wametenga Sh Milioni 100 katika Mkoa huo kwa ajili ya ukarabati wa mitambo na kuimarisha umeme Makambako, Njombe na Ludewa.

“Niwahakikishie ndani ya muda nilioutaja hali ya umeme itaimarika kwa kiasi kikubwa,” Kalemani


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tatizo la umeme Njombe kumalizwa baada ya siku 28
Tatizo la umeme Njombe kumalizwa baada ya siku 28
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnYipea1fcEVFiufJRZh6K69Kl1MZnXLL_nTRa6Yo3tfv6hLijP_eZuyMh98o2ASCp95XlwhdT5FT1tJJ93Yz8iuwSSOMu5rnEtHRifo0RuDlcH3upKx_rH9OU3l5T9epCLaHNBN0FCOlY/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnYipea1fcEVFiufJRZh6K69Kl1MZnXLL_nTRa6Yo3tfv6hLijP_eZuyMh98o2ASCp95XlwhdT5FT1tJJ93Yz8iuwSSOMu5rnEtHRifo0RuDlcH3upKx_rH9OU3l5T9epCLaHNBN0FCOlY/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/tatizo-la-umeme-njombe-kumalizwa-baada.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/tatizo-la-umeme-njombe-kumalizwa-baada.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy