AZAM FC MALENGO YAO YAPO KWENYE TAJI
HomeMichezo

AZAM FC MALENGO YAO YAPO KWENYE TAJI

 KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu yao msimu huu wa 2021/22 ni kuhakikisha wanashinda ub...

MRUNDI WA YANGA APATA OFA TATU MEZANI
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MWADUI FC
ARTETA: NICO ANATAKIWA KUPAMBANA KWELI

 KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu yao msimu huu wa 2021/22 ni kuhakikisha wanashinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara kama ilivyokuwa msimu wa 2013/14
 


Azam FC mchezo wake wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu mpya wa 2021/22 ilianza kwa kugawana pointi mojamoja ugenini.

Baada ya dakika 90, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ubao ulisoma Coastal Union 1-1 Azam FC hivyo wameacha pointi mbili sawa na wenyeji wao.

Bahati amesema:- “Baada ya kuwa na mwanzo mzuri katika Kombe la Shirikisho Afrika ambapo timu yetu imefanikiwa kufuzu hatua ya kwanza, sasa ni muda wa kurejea kwenye mashindano mengine muhimu ambayo ni Ligi Kuu Bara.

“Tumekuwa na maandalizi mazuri ya kabla ya msimu, pia tumefanya usajili bora kwa msimu huu wa 2021/22, malengo yetu makubwa ni kushinda ubingwa wa Ligi Kuu, kwa ubora wa kikosi chetu tunaamini hilo linawezekana.”

Mchezo wao ujao kwenye Ligi Kuu Bara ni dhidi ya Polisi Tanzania ambayo ilianza kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo uliochezwa jana, Septemba 29, Uwanja wa Karatu.

Azam FC inaarajiwa kumenyana na Polisi Tanzania, Jumamosi ya Oktoba 2. Tayari kikosi kimeweka kambi Moshi na kinaendelea na maandalizi kuelekea kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC MALENGO YAO YAPO KWENYE TAJI
AZAM FC MALENGO YAO YAPO KWENYE TAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv0ra7ETCtsluJXzEo6IzLuOQqAWOKj2mj9EAjFk3KgJmBB8DlNS5ZLxCaaG0rWfBkQANXwlc_rTvqvQaR0gcV-319Oql8P-B19giH0We9-iVOhorq6acS3w2kY5tUVk8YeoWhytUCkpfd/w640-h640/Azam+v+Coastal+Union.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv0ra7ETCtsluJXzEo6IzLuOQqAWOKj2mj9EAjFk3KgJmBB8DlNS5ZLxCaaG0rWfBkQANXwlc_rTvqvQaR0gcV-319Oql8P-B19giH0We9-iVOhorq6acS3w2kY5tUVk8YeoWhytUCkpfd/s72-w640-c-h640/Azam+v+Coastal+Union.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/azam-fc-malengo-yao-yapo-kwenye-taji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/azam-fc-malengo-yao-yapo-kwenye-taji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy