DAVID LUIZ ANASEPA MAZIMA ARSENAL
HomeMichezo

DAVID LUIZ ANASEPA MAZIMA ARSENAL

  DAVID Luiz staa wa Klabu ya Arsenal ametoa taarifa kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo  msimu huu utakapomeguka. Luiz alijiunga na Arsen...

 

DAVID Luiz staa wa Klabu ya Arsenal ametoa taarifa kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo msimu huu utakapomeguka.

Luiz alijiunga na Arsenal inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta kipindi cha majira ya joto mwaka 2019 akitokea Chelsea baada ya kukosa nafasi zama za Frank Lampard. 

Beki huyo katika msimu wake wa kwanza ndani ya  klabu hiyo alipitia kipindi kigumu kutokana na kufanya makosa ambayo yaliigharimu timu hiyo ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Manchester City. 

Licha ya makosa hayo Arteta aliendelea kumuamini na mpaka wakafanikiwa kutwaa Kombe la FA katika kikosi hicho.

Msimu huu hajawa na nafasi ya moja kwa moja ndani ya kikosi cha Arsenal kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Newcastle hivi karibuni.

Taarifa zinaeleza kuwa staa huyo ameomba kuondoka pale mkataba wake utakapoisha.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DAVID LUIZ ANASEPA MAZIMA ARSENAL
DAVID LUIZ ANASEPA MAZIMA ARSENAL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgp7AKNyr-nPuKme2FdgUtbWR784pYETijzyTxfjeaH6CmEoMfjhd1iKU7Ro2WP2LGjlxiKMI2X0f84tebnqOY3RBkajsuZ4JS90W5LcFkooINImR_S_5QnR0cnZnAEw9brDuaFTRa7bQ6D/w512-h640/IMG_20210517_090008_456.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgp7AKNyr-nPuKme2FdgUtbWR784pYETijzyTxfjeaH6CmEoMfjhd1iKU7Ro2WP2LGjlxiKMI2X0f84tebnqOY3RBkajsuZ4JS90W5LcFkooINImR_S_5QnR0cnZnAEw9brDuaFTRa7bQ6D/s72-w512-c-h640/IMG_20210517_090008_456.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/david-luiz-anasepa-mazima-arsenal.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/david-luiz-anasepa-mazima-arsenal.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy