KIUNGO wa Namungo FC, Shiza Kichuya amesema kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walistahili kutwaa taji hilo kwa kuwa walijipanga na amebai...
KIUNGO wa Namungo FC, Shiza Kichuya amesema kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walistahili kutwaa taji hilo kwa kuwa walijipanga na amebainisha kuwa kupoteza mchezo wao uliopita walipokutana na Simba, Uwanja wa Majaliwa Lindi kulimuumiza kwa kuwa alikuwa anaamini kwamba wanaweza kushinda.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS