BOCCO ASEPA NA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
HomeMichezo

BOCCO ASEPA NA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO

  MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Simba, John Rafael Bocco kwa msimu wa 2020/21 ni mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) baada ya kufikis...

FERGUSON ALIPIGA SIMU MOJA TU KUTIBUA DILI LA CR 7 KUTUA CITY
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
KIKOSI CHA SIMBA KUANZA SAFARI LEO KUREJEA BONGO

 MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Simba, John Rafael Bocco kwa msimu wa 2020/21 ni mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) baada ya kufikisha jumla ya mabao 16.

Bao lake la 16 alipachika jana Julai 18, Uwanja wa Mkapa wakati timu hiyo ikimaliza mechi ya mwisho kwa msimu mbele ya Namungo FC.

Ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 4-0 Namungo ambapo mabao mawili yalifungwa na Chris Mugalu na moja lilipachikwa na Meddie Kagere huku yeye akipachika dk ya 90+3 kwa penalti.

Nyuma yake kuna mshambuliaji mwingine wa Simba, Chriss Mugalu mwenye mabao 15, mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dude anashika nafasi ya tatu akiwa na mabao 14 wakati Medie Kagere wa Simba ana mabao 13.


Kwa mara nyingine tena tuzo ya kiatu cha mfungaji bora kinakwenda Simba baada ya msimu uliopita Kgere kutupia mabao 22 na msimu huu anayo 13 yupo zake ndani ya Simba.


Pia timu hiyo imefanikiwa kutetea taji lake la ligi ambalo ilitwaa msimu wa 2019/20 ikiwa ni mara ya nne mfululizo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BOCCO ASEPA NA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
BOCCO ASEPA NA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_2PS9eiRlcktlr_8cPfq-ejguceveM2Kk19tb5nczPiRq0EtADdCgRqPomsqxgVgPTgeqxsGe7A57OCpiAmIIhGEHngB0KAMUpKebfdr-j0cKfC4rT3Dx6NYslMV2CTmcDU9I8n96itol/w640-h414/john_22_bocco-217363436_381496970068088_5963586153766910645_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_2PS9eiRlcktlr_8cPfq-ejguceveM2Kk19tb5nczPiRq0EtADdCgRqPomsqxgVgPTgeqxsGe7A57OCpiAmIIhGEHngB0KAMUpKebfdr-j0cKfC4rT3Dx6NYslMV2CTmcDU9I8n96itol/s72-w640-c-h414/john_22_bocco-217363436_381496970068088_5963586153766910645_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/bocco-asepa-na-tuzo-ya-ufungaji-bora.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/bocco-asepa-na-tuzo-ya-ufungaji-bora.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy