MANCHESTER UNITED MACHO YOTE KWA FATI
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED MACHO YOTE KWA FATI

  IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester United imemtengea pauni milioni 130 nyota wa Barcelona Ansu Fati ili kupata saini yake baada ya dili ...


 IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester United imemtengea pauni milioni 130 nyota wa Barcelona Ansu Fati ili kupata saini yake baada ya dili lake msimu uliopita kuibukia ndani ya Old Trafford kubuma.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 18 yupo kwenye kikosi cha kwanza kwa sasa na anauwezo mkubwa wa kucheka na nyavu jambo ambalo linawapa nguvu United kuipambania saini yake.

Akiwa ndani ya Nou Camp tangu msimu uliopita amefunga jumla ya mabao nane kwenye mechi 33 ambazo alipata nafasi ya kucheza.

Ofa ya mwanzo ndani ya Barcelona ilikataliwa na rais aliyemaliza muda wake ndani ya Barcelona, Josep Bartomeu kwa kile alichoeleza kuwa hawawezi kuacha kipaji hicho kiondoke ila kwa sasa anapewa nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya La Liga na kuibukia ndani ya Ligi Kuu England kutokana na timu hiyo kuyumba kiuchumi. 

Hivyo Fanti anapewa nafasi ya kuibuka ndani ya Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solkjaer baada ya kumkosa Jadon Sancho.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED MACHO YOTE KWA FATI
MANCHESTER UNITED MACHO YOTE KWA FATI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiM26bPKsf7FX7Z2jsJTDNaYD0sbJO4QptC4VDT0oV6LHyUzI3H3ocImB9gMNlxnLDqfa1uJcKUiqVgYiHOklsnfEHd0JfEeamMU1WGLTqS-zhAiL25kCqkNx9tHT-TGMpS8fVmyZ0-q44W/w640-h418/Ansu+tenaa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiM26bPKsf7FX7Z2jsJTDNaYD0sbJO4QptC4VDT0oV6LHyUzI3H3ocImB9gMNlxnLDqfa1uJcKUiqVgYiHOklsnfEHd0JfEeamMU1WGLTqS-zhAiL25kCqkNx9tHT-TGMpS8fVmyZ0-q44W/s72-w640-c-h418/Ansu+tenaa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/manchester-united-macho-yote-kwa-fati.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/manchester-united-macho-yote-kwa-fati.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy