KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zao za Kombe la Shirikisho pamoja na Ligi Kuu Bara. Mch...

RASMI, MESSI MALI YA PSG, AKABIDHIWA JEZI NO 30
BREAKING:YANGA YAMTAMBULISHA KIPA MWINGINE TENA
VIDEO: SIMBA KUMFANYIA DUA PETER BANDA,WATPA DONGO KIMTINDO YANGA



UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zao za Kombe la Shirikisho pamoja na Ligi Kuu Bara.

Mchezo wake wa mwisho wa ligi KMC iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Kwa sasa imeanza maandalizi kuelekea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kurugenzi FC unaotarajiwa kuchezwa Ijumaa, Uwanja wa Uhuru.

Baada ya kumalizana na Kurugenzi itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania na Coastal Union ya Tanga.


Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwangala amesema:"Februari 26 tutakuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kurugenzi FC,hatujawahi kucheza nao ila tunaamini kwamba tutapambana kupata matokeo. 


"Mechi zetu mbili za ligi itakuwa ugenini mbele ya Polisi Tanzania na Coastal Union, tupo tayari na tunahitaji pointi tatu muhimu ndani ya uwanja,".




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA
KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5oPzYAarYiPzw3cuG0Wlm4GkBLKWeCVKqBHdUYugEwFW1TOk-7wjfJfVbb0reTUUhaOuDgWDUzlH_xTlHKdWSi-r7CzIwmu9uP5cJM51SKslrQE2pFqBvEGn9XaRpKSfSJAKBNu3Lzvlc/w640-h426/IMG_20210223_092641_430.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5oPzYAarYiPzw3cuG0Wlm4GkBLKWeCVKqBHdUYugEwFW1TOk-7wjfJfVbb0reTUUhaOuDgWDUzlH_xTlHKdWSi-r7CzIwmu9uP5cJM51SKslrQE2pFqBvEGn9XaRpKSfSJAKBNu3Lzvlc/s72-w640-c-h426/IMG_20210223_092641_430.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kmc-yaanza-maandalizi-fa-na-ligi-kuu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kmc-yaanza-maandalizi-fa-na-ligi-kuu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy