YANGA: MASHABIKI TUPIGIENI SIMU, MNAWACHANGANYA WACHEZAJI
HomeMichezo

YANGA: MASHABIKI TUPIGIENI SIMU, MNAWACHANGANYA WACHEZAJI

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweomba mashabiki na wanachama wa Yanga kuwasilisha malalamiko yao kwa viongozi pale wanapobaini kuna tati...

TUCHEL AITAKA SAINI YA ERIKSEN WA INTER MILAN
KOCHA SIMBA: NAMJUA VIZURI IBENGE, NINAJIAMINI
AZAM WATAJA SABABU ZA KUPOKEA KICHAPO MBELE YA COASTAL UNION

 



UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweomba mashabiki na wanachama wa Yanga kuwasilisha malalamiko yao kwa viongozi pale wanapobaini kuna tatizo.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa tabia ya mashabiki kusema matatizo yao mitandaoni kila kitu hayaleti picha nzuri. 

Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC mashabiki wa Yanga walikuwa wakilalamika kwa kusema kuwa mwendo ambao wanakwenda nao hauwapi fuaraha zaidi ya stress.

Bumbuli amesema:-"Wanachama na mashabiki waache tabia ya kutaka umaarufu kwa kuzungumza,  kama wameona tatizo baada ya mechi waje klabuni kusema au watupigie simu maana wanazo namba zetu.

" Ukisema unawapa faida vyombo vya habari halafu wachezaji wanawachanganya safari ya ubingwa inahitaji uvumilivu,".


Kwenye msimamo wa ligi Yanga ina pointi 51 ikiwa nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi 24.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: MASHABIKI TUPIGIENI SIMU, MNAWACHANGANYA WACHEZAJI
YANGA: MASHABIKI TUPIGIENI SIMU, MNAWACHANGANYA WACHEZAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj67un59oJRcpSDWjpdTl-1_QqUtohBpE4-xWEX2V5RslfE1rKCwiZSQGPBMRcSzGHzW1lsrlebRg3IJKUu2nD1R5JDlHFDU65n4p2ri2JFq7gRxZNsaAh2Ri8B1AS4IQRDg-IieRDmh-TU/w640-h480/IMG_20210414_082848_637.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj67un59oJRcpSDWjpdTl-1_QqUtohBpE4-xWEX2V5RslfE1rKCwiZSQGPBMRcSzGHzW1lsrlebRg3IJKUu2nD1R5JDlHFDU65n4p2ri2JFq7gRxZNsaAh2Ri8B1AS4IQRDg-IieRDmh-TU/s72-w640-c-h480/IMG_20210414_082848_637.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-mashabiki-tupigieni-simu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-mashabiki-tupigieni-simu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy