KOCHA SIMBA: NAMJUA VIZURI IBENGE, NINAJIAMINI
HomeMichezo

KOCHA SIMBA: NAMJUA VIZURI IBENGE, NINAJIAMINI

  MFARANSA Didier Gomes ambaye ni kocha mkuu wa Simba ametamba kwamba anajiamini mbele ya mpinzani wake kocha wa AS Vita, Florent Ibenge...

VIDEO: SIMBA YAMPA POLE MASAU BWIRE, AKUBALI MATOKEO
VIDEO: BARBRA, TRY AGAIN WAKUTANA NA SHWANGWE, GAZZA AWEKA MAMBO SAWA KIMYAKIMYA
YANGA HAIJAKATA TAMAA KUHUSU UBINGWA WA LIGI KUU BARA

 


MFARANSA Didier Gomes ambaye ni kocha mkuu wa Simba ametamba kwamba anajiamini mbele ya mpinzani wake kocha wa AS Vita, Florent Ibenge kwa kuwa anamjua vizuri kwa namna ambavyo anafundisha.

Wawili hao wataziongoza timu zao katika kupambana kwenye mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ya Kundi A ambayo itapigwa leo Ijumaa nchini DR Congo kwenye Uwanja wa Martyrs de la Pentecote.

 

Mara ya mwisho walipokutana msimu wa 2018/19 jijini Dar Simba walishinda kwa mabao 2-1 na kutinga robo fainali ambayo walifungwa na TP Mazembe kwa mabao 4-1.

Gomes ameliambia Championi Ijumaa, kuwa anamjua vyema Ibenge kuwa ni kocha mzuri na anayependa ‘fair’ lakini hata hivyo yeye anajiamini kutokana na aina ya kikosi ambacho anacho.

 

“Namjua vizuri kocha wao Ibenge, ni mtu mwema, ambaye amekuwa na fair ukikutana nae pia yuko safi lakini hata hivyo kwangu mimi ninajiamini zaidi kwenye mechi hii.“Tumefanya maandalizi mazuri ya mechi hii na nimewaambia baadhi ya makosa kwenye mazoezi yetu lakini nimewasisitiza zaidi kwenye suala la kufunga hata kwenye nafasi moja tu kwani hatuwezi kupata nafasi nyingi,” aliweka nukta Gomes

Stori na Said Ally, Dar es Salaam



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA SIMBA: NAMJUA VIZURI IBENGE, NINAJIAMINI
KOCHA SIMBA: NAMJUA VIZURI IBENGE, NINAJIAMINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoJe7MGapfhiuq0sXkfrDpyYZD_X58QF0k3catYP4SOtZJaW_Q-6oawKW_sgSKdQGz5Gs46PxSQ4iU4xQ8mCEQNWjWUar8K1jBBrNGqOdxEXg4IB2M6WxH6F_cc1ExALt2v6zhX3jetK4v/w640-h426/simba+%25282%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoJe7MGapfhiuq0sXkfrDpyYZD_X58QF0k3catYP4SOtZJaW_Q-6oawKW_sgSKdQGz5Gs46PxSQ4iU4xQ8mCEQNWjWUar8K1jBBrNGqOdxEXg4IB2M6WxH6F_cc1ExALt2v6zhX3jetK4v/s72-w640-c-h426/simba+%25282%2529.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-simba-namjua-vizuri-ibenge.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-simba-namjua-vizuri-ibenge.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy