SIMBA KUIBUKA BONGO LEO,YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
HomeMichezo

SIMBA KUIBUKA BONGO LEO,YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

  OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kikosi cha Simba kinatarajia kuwasili leo kwenye ardhi ya Tanzania huku akiwaomba masha...

KOCHA WA YANGA KAZE AWEKA WAZI KWAMBA HANA PRESHA
ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI
COASTAL UNION: TUNAWAHESHIMU YANGA, TUPO KWENYE USHINDANI

 


OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kikosi cha Simba kinatarajia kuwasili leo kwenye ardhi ya Tanzania huku akiwaomba mashabiki waendelee na shughuli zao wasijitokeze Uwanja wa ndege kuwapokea kwa kuwa jambo lao halijatimia.


Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,  hatua ya makundi dhidi ya AS Vita ya Congo inayonolewa na Florent Ibenge.


Bao la ushindi kwa Simba inayonolewa na Didier Gomes lilifungwa dakika ya 60 na Chris Mugalu kwa penalti na kuwafanya wawakilishi hao kuanza kuongoza kundi A kwa kukusanya pointi tatu.


Jana,Februari 13 kikosi kilisepa Congo na kuibukia Addis Ababa ambapo leo kinatarajiwa kuunganisha safari na kuibuka Bongo majira ya saa 6 mchana.

Manara amesema kuwa wanatambua umuhimu na dua za mashabiki ila kwa sasa wawaache wachezaji wapumzike kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United pamoja na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ambao wapo nao kundi moja.

"Tumepokea salamu nyingi za ushindi ila mashabiki kwa sasa tunawashukuru sana kwa sapoti yao, kuhusu kutupokea kwa furaha bado, watuache kidogo bado kazi ni ndefu.

"Hatujafikia malengo yetu, ikifika wakati tunarudi na ubingwa, mataji pale na mambo mengine itakuwa rasmi kwa mashabiki kuja ila kwa sasa tunawaomba mashabiki muendelee na shughuli zenu, tunajua mnafurahi  kuona tumeshinda nasi tunafuraha ila malengo yetu bado na safari bado ni ndefu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUIBUKA BONGO LEO,YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
SIMBA KUIBUKA BONGO LEO,YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUJvoShONmTfXip6t4h6bcjuTyMCMYlhVZlYk-yslrm6XgvnkgY6lQeD_WKHkPyp2nVXaWo9_Y4uUSAR7Mt121uTDnRNc9wY67VfWDE2mQpVO6leZWO6GrFqUH5_pTZYXQKJqe1O7fNYR9/w640-h426/IMG_20210214_025738_748.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUJvoShONmTfXip6t4h6bcjuTyMCMYlhVZlYk-yslrm6XgvnkgY6lQeD_WKHkPyp2nVXaWo9_Y4uUSAR7Mt121uTDnRNc9wY67VfWDE2mQpVO6leZWO6GrFqUH5_pTZYXQKJqe1O7fNYR9/s72-w640-c-h426/IMG_20210214_025738_748.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuibuka-bongo-leoyawaomba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuibuka-bongo-leoyawaomba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy