CHELSEA YAIKOMALIA SAINI YA LUKAKU
HomeMichezo

CHELSEA YAIKOMALIA SAINI YA LUKAKU

CHELSEA ipo kwenye mazungumzo na Klabu ya Inter Milan ili kuweza kumpata mshambuliaji wao wa zamani Romelu Lukaku ambaye alicheza hapo msi...


CHELSEA ipo kwenye mazungumzo na Klabu ya Inter Milan ili kuweza kumpata mshambuliaji wao wa zamani Romelu Lukaku ambaye alicheza hapo msimu wa 2011/14 ili aweze kujiunga nao ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22 ndani ya Ligi Kuu England.

Kwa sasa Lukaku mwenye umri wa miaka 28 yupo zake ndani ya Inter Milan ambapo aliibuka hapo akitokea Klabu ya Manchester United. Hivyo mabingwa hao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambao ni Chelsea wanahitaji kumchomoa kutoka kwenye kikosi cha Inter Milan ambacho kinashiriki Serie A.

Msimu huu ndani ya Serie A nyota huyo amefunga jumla ya mabao 24 pasi 11 za mabao na mashuti  jumla ya 48 ambayo yalilenga lango.

Ofa ambayo imewekwa mezani ni pauni milioni 85 na Chelsea wapo tayari kutoa mchezaji mmoja ambaye atafanya dili liwe jepesi. Lukaku mwenyewe amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi hicho cha Inter Milan ya Italia ambao wametwaa ubingwa msimu uliomeguka baada ya kuyeyuka miaka 1.

 

Chelsea wamebaki kuwa na chaguo la kumpa saini Lukaku ambaye anasema hajafikiria kuondoka kwa sasa na akili zake ameziweka kwa ajili ya msimu mpya. Licha ya kwamba Inter Milan wenyewe hawapo tayari kumuachia nyota huyo raia wa Ubelgiji imani ya Chelsea ipo katika kumpata nyota huyo.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHELSEA YAIKOMALIA SAINI YA LUKAKU
CHELSEA YAIKOMALIA SAINI YA LUKAKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMOzz3cidJncqQT8O_nHD_ivPkImM_FmvDfYestBM7rZkXTt90Tt9EjwiOhvjy-_uXdiVQo-sydCi5NTml0u1mbSGiSFP7pE7c39jUq-H_Rkm6mY8vwq_wFD5YWN5VHIxr9siQ_4-3gC6E/w640-h360/Lukaku+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMOzz3cidJncqQT8O_nHD_ivPkImM_FmvDfYestBM7rZkXTt90Tt9EjwiOhvjy-_uXdiVQo-sydCi5NTml0u1mbSGiSFP7pE7c39jUq-H_Rkm6mY8vwq_wFD5YWN5VHIxr9siQ_4-3gC6E/s72-w640-c-h360/Lukaku+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/chelsea-yaikomalia-saini-ya-lukaku.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/chelsea-yaikomalia-saini-ya-lukaku.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy