MTUPIAJI NAMBA MOJA WA YANGA KASEKE ATAJA ANAOWEZA KUCHEZA NAO
HomeMichezo

MTUPIAJI NAMBA MOJA WA YANGA KASEKE ATAJA ANAOWEZA KUCHEZA NAO

 MTUPIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Cedrick Kaze, Deus Kaseke amesema kuwa yeye anacheza na mchezaji yoyote am...


 MTUPIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Cedrick Kaze, Deus Kaseke amesema kuwa yeye anacheza na mchezaji yoyote ambaye atapangwa naye.

Kaseke kwenye upande wa watupiaji kwa vinara hao wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 anashika namba moja akiwa ametupia jumla ya mabao matano.

Bao lake la tano aliitungua timu ya Mbeya City wakati wakitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 na kugawana pointi mojamoja.

Yanga kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza ikiwa imekusanya jumla ya pointi 45 baada ya kucheza jumla ya mechi 19 huku Mbeya City ikiwa nafasi ya 17 na pointi zake 15 imecheza jumla ya mechi 19.

Kaseke amesema:"Kila mchezaji ndani ya kikosi ni muhimu na ana uwezo mkubwa wa kufanya kazi nami hivyo ni maamuzi ya mwalimu, ninacheza na mchezaji yoyote ambaye nitaanza naye.

"Kikubwa ambacho tunakifanya ndani ya uwanja ni kupambana kusaka matokeo na imani yetu kwamba jambo letu litatimia, mashabiki watupe sapoti,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTUPIAJI NAMBA MOJA WA YANGA KASEKE ATAJA ANAOWEZA KUCHEZA NAO
MTUPIAJI NAMBA MOJA WA YANGA KASEKE ATAJA ANAOWEZA KUCHEZA NAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLf1rP33_mCbdV2pvn831CoK1uK8zDUdOmTgpvDDxU24h8aPEKq6Wey77J7ZCVO5KZbaYV7UqyvUa0ong_-p8apprXlj761rB-r_swyS9C485IHWId8isH-UhDoI8PNrHf9HdjnXZdBKkT/w600-h640/Deus+Mwaisa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLf1rP33_mCbdV2pvn831CoK1uK8zDUdOmTgpvDDxU24h8aPEKq6Wey77J7ZCVO5KZbaYV7UqyvUa0ong_-p8apprXlj761rB-r_swyS9C485IHWId8isH-UhDoI8PNrHf9HdjnXZdBKkT/s72-w600-c-h640/Deus+Mwaisa.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtupiaji-namba-moja-wa-yanga-kaseke.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtupiaji-namba-moja-wa-yanga-kaseke.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy