WALTER BWALYA HATIHATI KUIKOSA SIMBA, WENGINE WAWILI PIA MAJANGA
HomeMichezo

WALTER BWALYA HATIHATI KUIKOSA SIMBA, WENGINE WAWILI PIA MAJANGA

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Al Ahly ya Misri, Walter Bwalya kuna hatihati akawakosa Simba leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,  ha...

AZAM FC YAISHUSHA SIMBA NAFASI YA PILI MPAKA YA TATU
YANGA : TUMEFANYIA KAZI MAKOSA YETU, TUNAHITAJI POINTI TATU
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Al Ahly ya Misri, Walter Bwalya kuna hatihati akawakosa Simba leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,  hatua ya makundi.

Bwalya alikuwa sehemu ya kikosi kilichoanza Uwanja wa Mkapa wakati ubao ukisoma Simba 1-0 Al Ahly ambapo bao la ushindi lilifungwa na kiungo Luis Miquissone.

Bwalya aliwekwa kwenye ulinzi wa mchezaji bora chaguo la mashabiki kwa mwezi Machi Joash Onyango jambo lililomfanya ashindwe kufurukuta licha ya kufanya majaribio kadhaa ambayo hayakuwa na hatari mbele ya Aishi Manula. 

Mbali na Bwalya ambaye hayupo fiti kutokana na kusumbuliwa na majeraha pia Hamdy Fathy na Ali Maalod watakosekana kwa kuwa wanatibu majeraha.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki, leo Aprili 9.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WALTER BWALYA HATIHATI KUIKOSA SIMBA, WENGINE WAWILI PIA MAJANGA
WALTER BWALYA HATIHATI KUIKOSA SIMBA, WENGINE WAWILI PIA MAJANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUnCuWq4bzw4K82cFqugkat3pUtoZBgNNcUf47XnZ9_GeQoUZJ7YT_ZsPuP7tWMBdP-vj2lLjkQjg2aJdJHtFG30UmtZ0cJBf_S9faAfzky4ZHwMwz_cBo0BfJh504CFsNs1QXs72I5l5w/w640-h640/IMG_20210409_073551_481.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUnCuWq4bzw4K82cFqugkat3pUtoZBgNNcUf47XnZ9_GeQoUZJ7YT_ZsPuP7tWMBdP-vj2lLjkQjg2aJdJHtFG30UmtZ0cJBf_S9faAfzky4ZHwMwz_cBo0BfJh504CFsNs1QXs72I5l5w/s72-w640-c-h640/IMG_20210409_073551_481.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/walter-bwalya-hatihati-kuikosa-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/walter-bwalya-hatihati-kuikosa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy