KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA
HomeMichezo

KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA

  K IKOSI  cha KMC yenye  maskani yake Kinondoni  jijini Dar, kimeendelea  na mazoezi kujiandaa na  mchezo dhidi ya Yanga ambao  unataraji...

YANGA HAWAPOI, WAIDUKUA MECHI YA SIMBA YOTE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
JEMBE JIPYA YANGA LINAWAZA MAKOMBE TU

 KIKOSI cha KMC yenye maskani yake Kinondoni jijini Dar, kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ambao unatarajiwa kupigwa Aprili 10, Uwanja wa Mkapa jijini Dar.

 

KMC imekuwa kwenye kiwango bora msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara ikishinda mechi 10 kati ya 24 walizoshuka uwanjani ikishika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi kuu Bara.

 

Kocha msaidizi wa timu hiyo, Habib Kondo amesema: “Kikosi tayari kimeingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi yetu na Yanga na mechi za Kombe la Shirikisho.


 "Malengo yetu ni kufanya vizuri kwenye mechi zetu zote zilizosalia ili tuweze kumaliza kwenye nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.


“Ushindani kwenye ligi umeongezeka ukizingatia kila timu inapambana kumaliza kwenye nafasi nzuri hivyo ni lazima tufanye maandalizi ya kutosha ili tuweze kufanya vizuri kwenye kila mechi ikiwemo mechi yetu dhidi ya Yanga, ".


KMC inashika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 35 baada ya kushuka dimbani kwenye mechi 24 wakishinda mechi 10, sare tano na wamepoteza mechi tisa.


Mchezo wa mzunguko wa kwanza KMC ilipokutana na Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba, ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA
KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmoVkJsQXJn5Jipa2FdBNl1G-AzXwShLLdgBaTlsreE4k9GzxQEjgYtbLQSPz1hkhz1RevlBeCybrKTKXHoMwxkZ3nHh8Wb0ORRX3ahFZCCGgn5elDZXj6im-OykozBYKDUfbXCSWUs8Ck/w640-h428/4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmoVkJsQXJn5Jipa2FdBNl1G-AzXwShLLdgBaTlsreE4k9GzxQEjgYtbLQSPz1hkhz1RevlBeCybrKTKXHoMwxkZ3nHh8Wb0ORRX3ahFZCCGgn5elDZXj6im-OykozBYKDUfbXCSWUs8Ck/s72-w640-c-h428/4.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kmc-yaanza-kuivutia-kasi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kmc-yaanza-kuivutia-kasi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy