“Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025  lafunguliwa  Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”
HomeHabariTop Stories

“Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga, Thomas Masese, amewakumbusha wafanyabiashara kuhusu dirisha la makadirio ya kodi k...

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga, Thomas Masese, amewakumbusha wafanyabiashara kuhusu dirisha la makadirio ya kodi kwa mwaka wa 2025, linaloanzia Januari hadi Machi 2025, likiwa na lengo la kurahisisha ulipaji kodi bila kuwekewa adhabu.

Akizungumza Meneja Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga amesema kuwa lengo la kukutana na wadau hao ni katika kujenga mahusiano mazuri na wadau mbalimbali, hususan wafanyabiashara, watu wenye mahitaji maalum, na viongozi wa makundi mengine, katika jitihada za kuimarisha ukusanyaji wa kodi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2025.

Aidha Bw.Masese ameongeza kwa kusema kuwa katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2024, TRA imekusanya kiasi cha TZS bilioni 178.3, ambacho ni zaidi ya lengo lililowekwa la TZS bilioni 162, ikiwakilisha ufanisi wa asilimia 109 na ametoa shukrani kwa walipa kodi kwa mchango wao.

Hatahivyo Masese amesema kuwa “suala la usalama, niwaombe wananchi kuwa na tahadhari kuhusu watu wanaojitambulisha kama maafisa wa TRA na wale wenye mashaka kufika ofisi za TRA au kuwasiliana na viongozi wa mamlaka hiyo badala ya kutumia nguvu au kuwashambulia maafisa hao”

Naye Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Tanga, Rashidi Mwanyoka,akatoa Maoni yake kwa Niaba ya Viongozi wa Wafanyabiashara

ameonyesha ushirikiano wao mzuri na TRA kwa kuwahamasisha wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari, akisisitiza umuhimu wa kodi katika kuendeleza miradi ya maendeleo ya Serikali. 

The post “Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/6OLRWGx
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: “Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”
“Dirisha la makadirio ya Kodi kwa mwaka 2025 lafunguliwa Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga wakumbushwa”
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250104-WA0011-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/dirisha-la-makadirio-ya-kodi-kwa-mwaka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/dirisha-la-makadirio-ya-kodi-kwa-mwaka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy