BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU
HomeMichezo

BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU

  L ICHA ya makosa ambayo  amekuwa akiyafanya ya  mara kwa mara ndani  ya uwanja, beki wa kati wa  Yanga, Bakari Mwamnyeto, ni  jembe la k...


 LICHA ya makosa ambayo amekuwa akiyafanya ya mara kwa mara ndani ya uwanja, beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, ni jembe la kazi kwa kuwa kila mechi atakayoanza amekuwa akiyeyusha dakika zote 90.


Miongoni mwa makosa ambayo aliyafanya Mwamnyeto yakasababisha timu yake kufungwa ni pamoja na pasi aliyotoa kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa iliyosababisha bao wakati ubao ukisoma Yanga 2-1 Ruvu Shooting.


Pia alirudia kosa hilo wakati ubao ukisoma Yanga 3-3 Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa jambo ambalo lilikuwa likiigharimu timu hiyo inayoongoza ligi na pointi 50.

 

Akiwa ni ingizo hilo jipya msimu huu akitokea Coastal Union, amecheza mechi 20 kati ya 23 ambazo Yanga imecheza na kutumia jumla ya dakika 1800.


Mechi alizocheza ni dhidi ya Prisons, Mbeya City, Kagera Sugar, Mtibwa Sugar, Coastal Union, Polisi Tanzania, KMC, Biashara United na Simba.

 

Zingine ni Namungo, Azam, JKT Tanzania, Ruvu Shooting, Mwadui, Dodoma, Ihefu, Prisons, Mbeya City, Kagera Sugar, Mtibwa Sugar.


Kwenye mechi hizo zote beki huyo alimaliza dakika zote 90.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU
BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5DJ_8kW-JgfJOkaquah3B0dx7AHMr3bWC5qYPGqOY58SBRTepdUohWVa3wWcDVHVrd_J4NTOc_nwSWYtuncPey80M7vibh5F555wFwpJIsGeyEl_P0UH_HuruOfh5PJNDFW-HsqYpqohc/w512-h640/Mwamnyeto+tizi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5DJ_8kW-JgfJOkaquah3B0dx7AHMr3bWC5qYPGqOY58SBRTepdUohWVa3wWcDVHVrd_J4NTOc_nwSWYtuncPey80M7vibh5F555wFwpJIsGeyEl_P0UH_HuruOfh5PJNDFW-HsqYpqohc/s72-w512-c-h640/Mwamnyeto+tizi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/bakari-mwanyeto-jembe-la-kazi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/bakari-mwanyeto-jembe-la-kazi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy