ZIKIWA zimeenea tetesi kuhusu mwekezezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kurudi kuwekeza katika kikosi hicho tena uongozi wa Yanga...
ZIKIWA zimeenea tetesi kuhusu mwekezezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kurudi kuwekeza katika kikosi hicho tena uongozi wa Yanga umesema kuwa hakuna tatizo ikiwa atahitaji kurudi arudi tu wanamkaribisha.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS