WANA KINO BOY WAENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA AJILI YA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

WANA KINO BOY WAENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA AJILI YA LIGI KUU BARA

  KIKOSI cha KMC , Wana Kino Boys leo kinatarajiwa kuendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa na michezo yao ya Ligi Kuu Bara wa mzu...

TIMU ZINAZOPANDA LIGI LAZIMA KUNA JAMBO LINAWAKWAMISHA
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AZAM FC
KIKOSI CHA AZAM FC LEO KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA

 


KIKOSI cha KMC , Wana Kino Boys leo kinatarajiwa kuendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa na michezo yao ya Ligi Kuu Bara wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuanza Februari 13.

Leo kitakuwa Uwanja wa White Sands majira ya saa 9:00 alasiri kuendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mechi zao zijazo.


KMC kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya 7 baada ya kucheza mechi 17. Imekusanya pointi 22.

Kinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga mwenye pointi 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 18 huku anayeburuza mkia ni Ihefu mwenye pointi 13 baada ya mechi 18.

Akizungumza na Saleh Jembe,  Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa mipango ya timu hiyo ni kufanya vizuri mzunguko wa pili.

"Timu ipo vizuri na tumeanza maandalizi kwa ajili ya mzunguko wa pili hivyo matumaini yetu tutakuwa katika kasi nzuri ambayo tulianza nayo awali.


"Kikubwa mashabiki wazidi kutupa sapoti katika kile ninachokifanya kila kitu kitakuwa sawa,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WANA KINO BOY WAENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA AJILI YA LIGI KUU BARA
WANA KINO BOY WAENDELEA KUJIWEKA SAWA KWA AJILI YA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8zKCDDaddKao3eXu0rxdwnUYWAfyMWuEWQkGBiBW47FSkoUWFVlma_mkeYuOZaAXeZsU3hYEfegwBoiNzU5mVae9vh6EbYH-lZ_JIuN4S3iNZJReVMezCrvESQ58MHIA24q7m6ZX2rF-o/w640-h426/IMG-20210125-WA0004.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8zKCDDaddKao3eXu0rxdwnUYWAfyMWuEWQkGBiBW47FSkoUWFVlma_mkeYuOZaAXeZsU3hYEfegwBoiNzU5mVae9vh6EbYH-lZ_JIuN4S3iNZJReVMezCrvESQ58MHIA24q7m6ZX2rF-o/s72-w640-c-h426/IMG-20210125-WA0004.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/wana-kino-boy-waendelea-kujiweka-sawa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/wana-kino-boy-waendelea-kujiweka-sawa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy